Huu uandishi Vp?????????

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Kashindye kuiwakilisha CHADEMA Igunga

na Mustapha Kapalata, Igunga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana kimemteua mgombea wake, Joseph Kashindye, kuwania nafasi iliyo achwa wazi baada ya kujiuzulu aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Rostam Azizi.

Kamati kuu ya chama hicho ilikaa jana katika ukumbi wa Maxwell uliopo mjini hapa, ambapo viongozi wa chama pamoja na wagombea wote walikusanyika katika kikao hicho ili kujua kipi kitakachojili.

Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, alimtangaza mgombea wa jimbo hilo kuwa ni Joseph Kashindye ambaye ataungana na wagombea wa vyama vingine kuwania nafasi hiyo muhimu ambayo iko wazi mpaka sasa.

Alisema chama hicho kimezingatia kanuni za uteuzi tangu awali zoezi hilo lilipo anza mpaka kukamilika kwa zoezi hilo.
Alisema chama kinachosubiri ni kwa sasa ni kuwadia kwa muda muafaka wa kampeni ili kuweza kuingia kusaka kura kwa wananchi ambao watamwezesha mgombea huyo kushinda kwa kishindo.

Amewataka wagombea ambao hawakufanikiwa kuteuliwa kutokata tamaa na kuhakikisha chama hicho kinashinda kwa wakati wowote hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi mdogo hivi karibuni.

Kwanyakati tofauti wagombea hao kumi na tano (15)walisema kuwa wamelidhika na uteuzi huo katika kamati kuu na kuendelea kuwa na imani na mgombea wao pamoja na kumuunga mkono katika mchakato mzima wa kampeni uwadiapo.

Joseph Mwandu Kashindye alisema kuwa ameupokea kwa furaha uteuzi huo wa kamati kuu na kuwa yupo tayari katika mapambano hayo ya kuhakikisha Jimbo la Igunga linachukuliwa na chama hicho.

Hata hivyo Chama cha wananchi (C U F) kimemteua mgombea wake kuwania na fasi hiyo Reopadi Lucas Mahona sambamba na Chama cha Tanzania Labour Party (T L P) kumteua mgombea wake Mozesi Edward kupeperusha bendera hiyo ya chama.

Ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) juzi kimefanya uteuzi wa majina matatu katika kamati kuu ya wilaya ambao walioteuliwa ni pamoja na Dk. Peter Kafumu, Japhal Omary na Shams Brahamu.

Neema Adamu alisema chama hicho kinatarajia kukaa kikao cha kamati ya siasa ya wilaya ili kupendekeza jina litakalo pelekwa katika Halmashauri Kuu ya Taifa na hatimaye kuwania nafasi hiyo.

Wakati huo huo, Chama cha Wananchi (CUF), kimetamba kuibuka na ushindi katika uchaguzi huo kutokana na mgombea wake, Leopard Mahona (So funny he made it right ths time ktk habari hiyo hiyo) kukubalika.

Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jana kwa njia ya simu akiwa wilayani Igunga, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara, Julius Mtatiro, alisema kabla ya kuanza kwa kampeni mtandao wa chama chao umekuwa ukiimarika siku hadi siku, hali inayoamsha matumaini ya kulitwaa
jimbo hilo.

My Take:

Haya magazeti hayana proof readers?? ( "Ploof leaders" hehe ehehe ehehe)
 
Vyumba vya habari japo si vyote, wahakiki wa lugha mara nyingi huwa ni watu wasio na utaalam (hata kama ni utaalam msingi)wa lugha husika na ndiyo maana makosa kama haya ya kisarufi yanatokea, binafsi ninaamini kukosea jina la mtu unayemtumia katika habari yako ni makosa makubwa sana. Mwandishi makini hata kama anadhani jina la chanzo cha habari yake ni gumu, huwa anamfuata mhusika na kumwomba amwandikie jina lake kiusahihi
 
Wabongo sijui tunaweza lugha gani? Nimeongezea mengine hapo mkuu( blue).Lakini nasikia kuna watanzania wengine hujifunza Kiswahili shuleni(Kiswahili huwa ni lugha ya pili baada ya ile ya asili),surprisingly hawafanyi jitihada za kutosha kukifahamu vizuri badala yake huamini wameshakifahamu vizuri wakati sivyo!Tubadilike watanzania,yaani mtu hajui tofauti ya "R" na "L" na anajiita mwandishi wa habari? Kazi ipo
 
<br />
<br />
Nasikia hata kwenye soko la kimataifa upande wa lugha ya Kiswahili Wakenya wanakubalika zaidi yetu, kisa si tunaamini tunajua lugha ya Kiswahili wakati wao wako moto kuijua kupitia elimu ya juu (vyeti)
 
Yaani unajuakinachonishangaza haya makosa yamekuwa kama kawaida kwenye haya magazeti karibu yoote!!!!!!!!! Lakini hii yote ni reflection ya poor primary education. Miaka ile na kumbuka kuna watu mpaka leo hawawezi kupronounce "z", huitamka "s" lakini hata siku moja huwezi kukuta mtu ameandika "sisi" badala ya "zizi" sasa siku hizi unakuta "frame" inaandikwa "flame" ndani ya gazeti!!!!!!
 
Vyumba vya habari japo si vyote, wahakiki wa lugha mara nyingi huwa ni watu wasio na utaalam (hata kama ni utaalam msingi)wa lugha husika na ndiyo maana makosa kama haya ya kisarufi yanatokea, binafsi ninaamini kukosea jina la mtu unayemtumia katika habari yako ni makosa makubwa sana. Mwandishi makini hata kama anadhani jina la chanzo cha habari yake ni gumu, huwa anamfuata mhusika na kumwomba amwandikie jina lake kiusahihi

Mkuu inasikitisha!!!!!!!!!
 
<br />
<br />
Nasikia hata kwenye soko la kimataifa upande wa lugha ya Kiswahili Wakenya wanakubalika zaidi yetu, kisa si tunaamini tunajua lugha ya Kiswahili wakati wao wako moto kuijua kupitia elimu ya juu (vyeti)

Mara nyingi mtu anayejifunza lugha darasani huwa anajua zaidi lugha ya kuandika kuliko yule anayezaliwa nayo. Wabara wanafaulu kiswahili zaidi ya wanafunzi wa pwani. Hii ndiyo sababu wakenya wanajua zaidi kiswahili cha kuandika kuliko sisi
 
Back
Top Bottom