Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Kiasi cha tani 6 za pembe za ndovu kutoka nchi mbali mbali za afrika ikiwemo Tanzania ambazo zilikamatwa katika nchi mbali mbali huko ulaya na asia zitachomwa moto nchini kenya.iko namna hapa,kwa nini pembe zetu za ndovu za ndovu zichomewe kenya na si hapa kwetu TZ?Nina mashaka hazitachomwa,watazitumia wajuavyo.