Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,846
- 5,076
Edson,
Ambacho sikijui ni hiki: Dr Ulimboka aliratibu na kuongoza mgomo wa MaDaktari vizuri sana. Anashindwaje kuongoza mapambano dhidi ya dhulma aloofanyiwa yeye mwenyewe? Ujasiri ule kama KIONGOZI wa Jumuia ya MaDaktari umeishia wapi? Afadhali hata baba yake mdogo alipinga yale maelezo ya DCI Manumba!
mkuu....andhani roho yako ingefurahi sana kama siku ile alipotua pale air port angeanza kuongea na kurudia kile ambacho alisakisema....ndo kwanza kafika hajamaliza hata mwezi tayari watu mnataka arudie kile alichokisema mwanzo ambacho mmeshindwa kupambana nacho....ka maumivu makali kabisa huyu mtu kwa dakika 19 na sekunde 37 aliweza kuongea na ksimulia kisa kizima ..chote kabisa na jinsi ilivyokuwa hadi akajeruhiwa namna ile...ile video bado mnayo mpaka sasa na hamjafanya lolote...amekuja kova na mkenya bado ambapo mnajua ni uongo kabisa na huyo mkenya hakuhusika bado mmekaa kimya....kama ni kusema atasema na ninaamini atarudi kile alichokwisha kukisema ambacho kwa unafiki mmeshindwa kumsaidia....