Edson,kipi ambacho hukijui mpaka sasa?.....
Ambacho sikijui ni hiki: Dr Ulimboka aliratibu na kuongoza mgomo wa MaDaktari vizuri sana. Anashindwaje kuongoza mapambano dhidi ya dhulma aloofanyiwa yeye mwenyewe? Ujasiri ule kama KIONGOZI wa Jumuia ya MaDaktari umeishia wapi? Afadhali hata baba yake mdogo alipinga yale maelezo ya DCI Manumba!