Huu si UNAFKI?

Kimweri

JF-Expert Member
Apr 16, 2008
3,999
3,950
Kwa muda wa miaka 20 sasa,trend Tanzania imekuwa ni kukuza viongozi wa CCM kwa sifa za kusadikika au za kimuonekano zaidi.

Kikwete alikuzwa kama mtu wa watu,tumaini jipya,raisi wa vijana,damu mpya.....kilichotokea wote tunajua

Pinda alikuzwa kama mtoto wa mkulima,mpenda watu,mchapakazi,mwenye msimamo...,huyu jamaa hata vifisadi vidogo anaviogopa,halafu ni PM.

Lowasa aliitwa SOKOINE mpya,mchapakazi,akapewa title ya ukombozi,wengi wakajua ni given president come 2015...,kilichotokea ndani ya miaka miwili ya u-PM jamaa aliiba as if anakufa kesho..,akafanya deals kama drug dealer anayedaiwa ransom..,

Shein kwa muda mrefu alivaa ngozi bandia ya mpole,kiongozi safi,mcha mungu,asiye na makundi,mchapakazi...,DHULUMA aliyoifanya kwa CUF na jinsi alivyopora ushindi wa MAALIM SEIF huyu shein mie namuona lama typical CCM leader,hana sifa yoyote ya uchamungu wala ya kiongozi safi.

any thoughts?!
 
Well said, big up Kimweri.

It is very unfortunate that the so called ccm is in power again for the coming five year. It is very sad that Tanzanian's ought to suffer under that animal ccm for these coming five years.
 
Of all people i am humbly disappointed at Shein,this guy poses as "mchamungu" wakati wanamchakachua maalim seif mchana kweupee.
 
Kwa muda wa miaka 20 sasa,trend Tanzania imekuwa ni kukuza viongozi wa CCM kwa sifa za kusadikika au za kimuonekano zaidi.

Kikwete alikuzwa kama mtu wa watu,tumaini jipya,raisi wa vijana,damu mpya.....kilichotokea wote tunajua

Pinda alikuzwa kama mtoto wa mkulima,mpenda watu,mchapakazi,mwenye msimamo...,huyu jamaa hata vifisadi vidogo anaviogopa,halafu ni PM.

Lowasa aliitwa SOKOINE mpya,mchapakazi,akapewa title ya ukombozi,wengi wakajua ni given president come 2015...,kilichotokea ndani ya miaka miwili ya u-PM jamaa aliiba as if anakufa kesho..,akafanya deals kama drug dealer anayedaiwa ransom..,

Shein kwa muda mrefu alivaa ngozi bandia ya mpole,kiongozi safi,mcha mungu,asiye na makundi,mchapakazi...,DHULUMA aliyoifanya kwa CUF na jinsi alivyopora ushindi wa MAALIM SEIF huyu shein mie namuona lama typical CCM leader,hana sifa yoyote ya uchamungu wala ya kiongozi safi.

any thoughts?!

Lawrence Masha
Alionekana ni damu changa anayewakilisha kizazi kipya na angepalilia njia ya vijana wengi kujiunga kwenye uongozi wa kisiasa na kukomboa nchi hii lakini ndiye fisadi mkubwa. Nguvu ya umma wa Jiji la Mwanza imemtupilia mbali hadi vichakani.
 
Chenge, Sumaye, Yona, Mramba, Melecela, karamagi, msabaha, ' and the likes' walionekanaje?
 
Back
Top Bottom