Kwa muda wa miaka 20 sasa,trend Tanzania imekuwa ni kukuza viongozi wa CCM kwa sifa za kusadikika au za kimuonekano zaidi.
Kikwete alikuzwa kama mtu wa watu,tumaini jipya,raisi wa vijana,damu mpya.....kilichotokea wote tunajua
Pinda alikuzwa kama mtoto wa mkulima,mpenda watu,mchapakazi,mwenye msimamo...,huyu jamaa hata vifisadi vidogo anaviogopa,halafu ni PM.
Lowasa aliitwa SOKOINE mpya,mchapakazi,akapewa title ya ukombozi,wengi wakajua ni given president come 2015...,kilichotokea ndani ya miaka miwili ya u-PM jamaa aliiba as if anakufa kesho..,akafanya deals kama drug dealer anayedaiwa ransom..,
Shein kwa muda mrefu alivaa ngozi bandia ya mpole,kiongozi safi,mcha mungu,asiye na makundi,mchapakazi...,DHULUMA aliyoifanya kwa CUF na jinsi alivyopora ushindi wa MAALIM SEIF huyu shein mie namuona lama typical CCM leader,hana sifa yoyote ya uchamungu wala ya kiongozi safi.
any thoughts?!