Zanzibar 2020 Huu sasa ni ufalme; haiwezekani watoto na familia ya Mwinyi iteuliwe kugombea kuanzia Urais hadi Ubunge

Kwanza nawapongeza wajumbe kwa mamuzi yenu mazuri ya kuwachinja wagombea waliokimbilia CCM ili wawaangushe wazawa wa CCM
swali langu dogo kwanini watoto wa Baba wa Taifa hakuna hata mmoja mliyempitisha?

Kwanini watoto wa mwinyo wamepewa fursa kubwa ya Urais na Ubunge?

Je, hii inaashiria nini kwa familia ya Baba wa Taifa?

IMG-20200821-WA0071.jpg
 
Kila mtu ana haki kikatiba, ila mama Kikwete na Mwinyi walichofanya sio sahihi. Mama salma kikwete angeachia hata ukoo mwingine nao ule national cake ya ubunge huko kwao kusini, maana yeye na mumewe wana asilimia 70 ya mshahara wa urais mpaka kufa kwao.
 
Abdallah Mwinyi mbona sio mbunge. alikuaga mbunge wa Afrika Mashariki lakini kwa sasa sio mbunge
 
Pesa hazijawahi kutosha mkuu.

Ni kweli wangezitafuta kwenye biashara zao.. sio cake ya taifa. Maana wameshakula hiyo cake na wanaendelea kula.. wangewaachia wengine wale pia.. wao wangetafuta nje ya hela za uma. Kama mengi ama bakhressa.. jaribu kuwaza kura za maoni waliogombea na mama salma kikwete kama hata majina yao yamesomwa na kamati kuu
 
Back
Top Bottom