Huu sasa kwa wachaga ni zaidi ya utani

wakinga kwa kuua ndugu zao na kuwaweka ndondocha madukani wao ni namba moja kwenye hiyo business.
Wapemba wao kwa kuzaa tu, hawajambo, kadiri wanavyozaana ndivyo hela inavyoingia

Hapo kwa wapemba ongezea chuma ulete (the main kitega uchumi), kwa wachaga wanaamini pesa zote duniani ni za kwao kama ilivyo wamasai wanavyoamini ng'ombe zote duniani za kwao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom