Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,395
- 3,899
Watu unaweza kuwadanganya leo lakini kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote
CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na wachache hatutakubali hata siku moja
CCM wakitaka tuendelee kuwaunga mkono tunawataka wafuate mambo yafuatayo bila kupepesa macho
Kwanza watekeleze kwa kishindo ilani ya CCM ya kurasa 303 ambayo ina agenda zote za mifumo ya kustawisha jamii yetu
Hatutaki kuambiwa kwamba kuna haki wakati hatuoni nia na dhamira ya Serikali katika kutuletea uimara wa huduma za misingi kama upatikanaji wa maji safi na salama, Bima ya afya kwa woote, huduma bora za Afya,
kwa misingi hiyo wanasiasa waache kutupaka mafuta kwa mgongo wa Chupa kwa kuhubiri haki ya uongo huku haki zetu za lazima na za msingi zikififishwa na sera mbaya za viongozi zinachochea Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na madawa ya kulevya