MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,185
- 22,203
Natumaini mko poa.
Leo nimeona nifungue huu uzi kwa nia ya kujifariji sisi tuliopata ufaulu wa daraja la chini kipindi tuko Chuo. Namaanisha GPA za 3.4 kushuka chini. Pia tutapiga stori mbili tatu kukumbushana nini kilijiri hadi tukapata GPA dhaifu wakati wengi tulipita form six salama.
Mimi binafsi GPA yangu ni 3.2 na sababu kubwa ni kufanya biashara huku nasoma. Chuo nilikuwa adimu sana. Sup nilipata za kutosha ingawa kwa kudra za mwenyezi Mungu nilichomoa. Wengi wanajuta na endapo muda ungerudishwa nyuma wangesoma kwa bidii ila mimi niko tofauti... Mimi ningeendelea na biashara kama kawaida na ari zaidi ila ningejitahidi kupangilia muda vizuri ili kukwepa kufeli.
Karibuni.