Huu ni uzembe, nani alaumiwe kuhusu hili?

Ezequiel

Member
Aug 12, 2016
45
14
Gari zimeandikwa Musoma >>>>>> Sirari
Mwanza >>>>> Sirari
Hii inapelekea watu tunakuwa kama wakimbiz ktk miji yetu kulingana na gari zinavyoandikwa.
Kule Mbeya kwenye gari makonda wanasema Wambea mpooo??

Sielewi!!!!!...
 
Hahahahaa, this is very funny!

Ahsante Mkuu kwa kunipunguza stress.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom