Duh!Sijakuelewa ila acha nicomment kwa nilichoambulia,sio kila msichana ni wakupeleka home wengine tunapiga tu,na nikumegee siri kuna wasichana wengine ni wakukutana nao usiku au gest hata barabarani hatuongozani nao kwa sababu hawana mvuto,tunaondolea hamu tu.
wa kuoshea rungu hapelekwi nyumbaniUmepata mapenzi kwa kuwa umejiwekea ka status mjini unaona aibu kumpeleka kwenu kutokana na hali halisi . Hii ni kukosa confidence ya maisha, utoto au ni utaahira?
Mnaelewa kabisa nimeandika nini lakini mnajifanya hajaelewa mada ni kuwa kama hata kwenu kukiwa kubovu usione aibu kumpeleka uliempendaSijakuelewa ila acha nicomment kwa nilichoambulia,sio kila msichana ni wakupeleka home wengine tunapiga tu,na nikumegee siri kuna wasichana wengine ni wakukutana nao usiku au gest hata barabarani hatuongozani nao kwa sababu hawana mvuto,tunaondolea hamu tu.
Ni kweli kabisa kama shost alipoona ile hali alimpa jamaa support ya kumaliza nyumba ya mama. Mwanzo alifikiri jamaa atakuwa na mke nyumbani kumbe masikini haikuwa hivyoNi utoto pamoja na utahira na kushindwa kujiamini katika maisha.
Hamna kitu kizuri duniani kama kusema ukweli. Ukweli unakupa faraja. Ukweli unakulinda. Ukweli unakupa utu. Ukweli unakufanya kuonekana binadamu.
Wanaume wengi wanahili tatizo saana siku hizi unakuta maisha yake mabovu kisa wanawake wanapenda pesa anadanganya. Mwisho wa siku ndiyo kuaibika huko. Toka mwanzo jionyeshe wewe ni nani kama atakupenda sawa asipokupenda aondoke.