Huu ni Utawala na Uongozi Bora au Ukweli wa Siasa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni Utawala na Uongozi Bora au Ukweli wa Siasa Tanzania?

Discussion in 'Jamii Photos' started by niweze, Dec 28, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Maisha ya Viongozi wa Tanzania

  [​IMG]
  Wananchi Wakiumia - Maisha Magumu Kila Siku

  [​IMG]
  Shule za Wananchi Waliowengi
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  CHA KUSHANGAZA HATA HAO WALIOKAA HAPO CHINI YA MTI.........WAKISHAFIKA JUU NAO WANASAHAU WALIKIOTOKA..............huo ni ukweli wa siasa TZ
   
 3. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kaka hii picha ya kwanza ni TZ kweli??
  Mbona hiyo emblem iliyoko mlangoni mwa jengo hilo jeupe sio ya TZ?
  Instead Kenya or else
   
 4. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Labda ana maana yake, tusubiri tuone!
   
 5. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Picha ya kwanza ni Entebbe State House
  By the way, imejengwa na wachina kwa (gharama ya kuanzia) $87M
   
 6. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2015
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  magufuli anasema anashangaa nami nashangaa
   
Loading...