Huu ni utapeli mpya kutokana na vifurushi vya simu kupanda

Mtafute huyu kama una voda
IMG_20181018_113001_594.jpeg
 
Hizo bando anafoji kutoka kwenye cm za vofafone zile ambazo ukinunua unapata bando apo msala unakuja kwa yule atakaekuja kununua hio cm
 
Pole sana mkuu,huyu member alinikosaga kidogo tu nakumbuka miaka ya nyuma alitaka kuniuzia laptop sasa kwakuwa mimi niko mkoani na yeye yupo dar ilibidi nimtume jamaa yangu aende akaichek mashine husika,yule jamaa yangu alivyokutana na huyo member alinijibu tu kuwa "kaka sina imani na muuzaji pamoja na mashine yenyewe kama utaamua ku-risk sawa".
duu ulinusurika
 
*HUDUMA ZINAZOPATIKANA*
*TIGO*

∆INTERNET GB66 KWA MWAKA 1 (GB5.5 kila mwez kwa miez 12) KWA SH 18,000/=

∆INTERNET GB48 KWA MWAKA 1 (GB4 kila mwez kwa miez 12) KWA SH 13,000/=
 
Back
Top Bottom