HUU NI USHIRIKINA KABISA!

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,326
Eti "wanaolalamika hakuna pesa, walikuwa wapiga dili"

Najiuliza hivi mkulima aliyeuza tenga LA nyanya kwa sh. 15000-35000 halafu Leo bei ni 500! Akilalamika hakuna pesa unasema alikuwa mpiga dili kweli?!

Kule mwanza watu wamejichanga wakalima tikiti za kutosha lakini wakashindwa hata kurudisha mitaji yao pesa hakuna kwenye mzunguko,, nao wakisema pesa hakuna walikuwa wanapiga dili?!

Raia wengi wasio wanafiki wanasema pesa hakuna harafu wanaambiwa walikuwa wapiga dili kweli?!

Watu wasio na ajira wanazidi kuongezeka maradufu, wanasema pesa hakuna nao wanaitwa walikuwa wapiga dili kweli?!

MTU mmoja anasimama anasema pesa zipo nyingi ila watu hawazioni,,,!

Yeye anaziona wengine hawazioni! HUU NI USHIRIKINA KABISA,,AU TUSEME MIUJIZA. Maana kama katika wote ni wewe tu unaoona pesa wengine hawazioni, hapa kuna kaushirikina kiasi Fulani.

Mimi naona dalili za ushirikina kwenye hii sherekhali, sijui wewe unaona nini?.

Mods: tabia zenu kutoa mabandiko yasiyowafurahisha mziache.
 
ni wao wenyewe wamelima sana nyanya baada ya kunogewa na faida,
wameshindwa ku apply mambo ya demand na supply,hiyo watu wanafundishwa commerce form two
 
ila pia serikali ina wajibu wa kuwawezesha kimasoko.

Kwa wenye mtazamo wa chanya.. hiyo ni fursa kwa uwekezaji hasa kwenye viwanda vya kusindika mazao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom