fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 11,108
- 19,985
Hiyo posho ipo kwenye budget gani?Posho....

Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia.
Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini.
Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa mkoa, mkuu wa jeshi la polisi, mkuu wa jeshi la wananchi, viongozi wengine waandamizi wa kijeshi na kiaskari [nadhani nimemuona na wa magereza hapo], na chawa wengine.
Si ajabu hata yale Maharage ya Tanesco yalikuwepo hapo.
Huu ushamba ni matumizi mabaya ya muda wa uzalishaji.
Badala ya kuwa maofisini huko na sehemu zingine za kazi, majitu yote hayo yanaenda kurundikana na kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya.
Ushamba na ujuha wa kiwango cha juu kabisa.
Na Rais naye hana busara ya kuwaambia hakuna haja ya kunisindikiza wala kunipokea uwanja wa ndege, na badala yake endeleeni kupiga kazi.
Sisi bado sana aisee!

😂😂😂😂😂Ni utamaduni eti,Hazina maana wala umuhimu wowote ni kupoteza pesa na muda bure kila mgeni akija watu wanakata viuno kule ndio maisha yao
Wapi hawafanyi hivyo tuambie?
Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia.
Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini.
Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa mkoa, mkuu wa jeshi la polisi, mkuu wa jeshi la wananchi, viongozi wengine waandamizi wa kijeshi na kiaskari [nadhani nimemuona na wa magereza hapo], na chawa wengine.
Si ajabu hata yale Maharage ya Tanesco yalikuwepo hapo.
Huu ushamba ni matumizi mabaya ya muda wa uzalishaji.
Badala ya kuwa maofisini huko na sehemu zingine za kazi, majitu yote hayo yanaenda kurundikana na kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya.
Ushamba na ujuha wa kiwango cha juu kabisa.
Na Rais naye hana busara ya kuwaambia hakuna haja ya kunisindikiza wala kunipokea uwanja wa ndege, na badala yake endeleeni kupiga kazi.
Sisi bado sana aisee!
Ulaya.Wapi hawafanyi hivyo tuambie?
Tusiandikie mate wino upo mwingi tu, hebu tazama hiyo clip Hangaya anapita kwenye jamvi?unahamisha magoli. Joe Bidden yupo ndani ya nchi huyo hakuna haja ya zulia jekundu. Hayo mengine nakuachia mwenyewe
Rais wa Zanzibar hadhi yake iko wapi kiprotocal kukaa foleni kwenye himaya yake."Tuna urais wa kifalme" - Tundu Lissu
Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia.
Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini.
Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa mkoa, mkuu wa jeshi la polisi, mkuu wa jeshi la wananchi, viongozi wengine waandamizi wa kijeshi na kiaskari [nadhani nimemuona na wa magereza hapo], na chawa wengine.
Si ajabu hata yale Maharage ya Tanesco yalikuwepo hapo.
Huu ushamba ni matumizi mabaya ya muda wa uzalishaji.
Badala ya kuwa maofisini huko na sehemu zingine za kazi, majitu yote hayo yanaenda kurundikana na kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya.
Ushamba na ujuha wa kiwango cha juu kabisa.
Na Rais naye hana busara ya kuwaambia hakuna haja ya kunisindikiza wala kunipokea uwanja wa ndege, na badala yake endeleeni kupiga kazi.
Sisi bado sana aisee!
...kumshangilia na kumpongeza kwa kufanya safari ya kwenda nchi za nje na kurudi salama ...etc.🤣🤣🤣🤣 Ila hata mimi kweli huwa sioni mantiki ya hili , na akirudi watakuepo pia kumpokea 🤣🤣🤣
Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia.
Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini.
Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa mkoa, mkuu wa jeshi la polisi, mkuu wa jeshi la wananchi, viongozi wengine waandamizi wa kijeshi na kiaskari [nadhani nimemuona na wa magereza hapo], na chawa wengine.
Si ajabu hata yale Maharage ya Tanesco yalikuwepo hapo.
Huu ushamba ni matumizi mabaya ya muda wa uzalishaji.
Badala ya kuwa maofisini huko na sehemu zingine za kazi, majitu yote hayo yanaenda kurundikana na kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya.
Ushamba na ujuha wa kiwango cha juu kabisa.
Na Rais naye hana busara ya kuwaambia hakuna haja ya kunisindikiza wala kunipokea uwanja wa ndege, na badala yake endeleeni kupiga kazi.
Sisi bado sana aisee!
We mjinga nini ? si ungeufungia kabatini kwako huu uzi wako kama hutaki watu wauone?Umekuja kufanya nini kwenye uzi wangu? Toka….
ni mawazo yako haukatazwi kutoa vile akili yako inavyofikiri,ila kaa ukijua protokali lazima izingatiwe...hata kupiga saluti nako kunaweza kuwa ni kupoteza muda,hata magwaride yanayochezwa katika ocassions mbalimbali inaweza kuwa ni kupoteza muda(kwa mujibu wa fikra zako) lakini pia hata kusalimiana nako kunaweza kuwa ni kupoteza muda kwani yanaweza kuachwa yote hayo na mambo yakaenda tu vizuri,hivyo ndivyo uzuri wa uhuru wa kufikiri na kutoa maoni ulivyo..we call it democracy,aise its enoughNaam kuketi na kuachiana majukumu sio kupanga mstari na kuagana na kupungiana mikono...., moja lina tija na halina gharama la pili huenda ikiwa ni matumizi mabovu ya muda au pesa pia kama hao watasema walikuwa kwenye majukumu ya kiofisi
Kusindikizana hata kama kila mtu anatumia gari lake na gharama zake huenda hio msululu na hiyo nyomi ikawa kero na usumbufu wa watu wengine hapo waliopo kwenye shughuli zao...
Hii issue huenda isiwe kubwa kiasi hicho ila na haka kakiwa ka-utamaduni tunaweza mwisho wa mwaka tukakungudua kwamba katika miezi 12 mwezi mzima ulitumika kuagana na kupokeana airport ukizingatia hizi safari ni kila kukicha....
Nakubaliana na wewe mkuuZipo eneo la malisho lazima mbuzi wapite nazo
Ila sisi Watanzania tumekuwa mapumbavu sana! Ina maana wakati wa mwendazake ilikuwa sawa ila kwa huyu mama ni ushamba? Tuache umazwazwa!
Mtoa maada alikua anaimba mapambio kipindi kile, muda huu kila kitu kwake ni kibaya,Ila sisi Watanzania tumekuwa mapumbavu sana! Ina maana wakati wa mwendazake ilikuwa sawa ila kwa huyu mama ni ushamba? Tuache umazwazwa!
Sukuma gang wanateseka sana!Mtoa maada alikua anaimba mapambio kipindi kile, muda huu kila kitu kwake ni kibaya,
Binadamu ndivyo tulivyo