Huu ni Urafiki au ni upuuzi mtupu!? Watanzania tumerogwa na nani!!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni Urafiki au ni upuuzi mtupu!? Watanzania tumerogwa na nani!!??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Matola, Oct 2, 2012.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Wadau wa MMU naomba kushare na ninyi kuna kitu cha ajabu sana nimexperince weekend hii iliyopita, inshort nina rafiki yangu ambaye tumekuwa wote wakati wa childhood lakini kutokana na kila mtu kuwa bize na misele yake basi hatukuwa na mawasiliano ya karibu kwa kipindi fulani.

  Sasa last week ndio nikapata taarifa zake kwamba alipata hasara kwenye biashara zake na akawa ameingia kwenye mgogoro wa madeni mpaka kufikishana Mahakamani na mdai wake, na inaonekana maelewano hayakuwa mazuri imepelekea huyu jamaa yangu kuhukumiwa jela miaka 3.

  Baada ya kupata hizi taarifa ndipo ikabidi niende gerezani kumuona nijuwe all the story ndipo niliposhangazwa eti amefungwa kwa deni la shilling millioni 20 na bado kwa mujibu wa vyombo husika kinachotakiwa ni kulipwa hizi pesa hili kifungo kisitishwe kisheria.

  Sasa hapa ndio narudi kuunga mkono msimamo wa Speaker kwamba i will never donate michango ya harusi any more, maana huyu jamaa kama sikosei harusi yake tulimchangia millioni 25, je wale watu wako wapi wakati huu ambao ndio anahitahiji zaidi msaada wao?

  Nb: Nipo kwenye mchakato wa kuwapata marafiki wote wa kweli ili kumaliza hii kadhia na i mean sichangii tena harusi labda school fees na humanitarian needs kama hizi.
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo neno! Kila mtu atabeba msalaba wake!
   
 3. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Humanitarian needs?? Are these universal?? Anyway, nakubali kabisa, dhana yetu ya kuchangiana bado ina walakini. Watu wa makanisa, mapadri, wachungaji nk watusaidie kufuta huu ujinga.
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Pitisha bakuli achangiwe mh inasikitisha.
  LKN kunauwezekano wa mtu kutoka jera baada ya kuhukumiwa kama anauwezo wakulipa deni?
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Siongei kutoka hewani hii ni fact, unadhani Andrew Chenge ile kesi yake ya kuuwa kwa Gari asingelipa ile faini ya shilling 700,000/= asingepelekwa jela kutumikia kifungo?

  Hapa naongea kitu ambacho kipo kwenye maandishi ya kisheria kwenye kesi tajwa na si simulizi za kwenye vijiwe vya kahawa au ushauri wa Bush lawyer.

  Bakuri litapitishwa kwa realy friend of him & mine na pesa itapatikana, kilichoniuma ni mtu ambaye siamini kama angekwenda jela kwa this amount required, hapo ndio kitovu cha mimi kukasilishwa na unafki.
   
 6. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Heeeee harusi ni sherehe ambayo tunawapongeza wanaohalalisha tendo la ndoa na kukataa uzinifu..sasa huyu kakopa kashindwa kulipa je wakati anakopa alisenma kama anakopa?mchanganuo wake wa matumizi je?kama alikua anahonga na kula starehe heeee mi wa hivi sichangi may b school fee hapo sawa..
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Bado haujakuwa na wala hujakutana na mitiani ya maisha, kaa karibu kwanza na matajili waliofirisika wakati hata ukumbi wa Disco haujui ndio utajuwa Biashara ni kitu gani.

  Leo Dar Express limeunguwa moto na kuteketea lote Segera, je kama una mali zako mule za Millioni 30 na zimeteketea zote hapo inakuwaje? Think Big Bro.
   
 8. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haya matola ukienda kampe pole sana aisee na pitisha bakuli na huku jf wenye moyo tutajitolea nimeguswa na mfano wako...,nimefuta na kauli hapo juu.
   
 9. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Mi nina mashaka ALIKOSA a GOOD LAWYER wa kumrepresent ndo maana kafungwa. Watu wanakopa bank 4 afu wanaresign na mafao wanachukua bila kulipa senti, na Bank ikilia Nyau tunawaona Mareale Advocates fasta. Ndo maana Brclays Imefilisika Atii! All im saying kama mda wa APPEAL BADO UKO WAZI mnge appeal, hata msipopata zote, chochote mkamlipa GOOD LAWYER akasababisha hapo, MDA ALIONYEA DEBE UKIZINGATIWA ataachiwa soon, coz MNAWEZA KULIPA DENI na ASIACHIWE vile vile! Sheria za bongo mchezo mchafu!!!!! Au BAADA YA KUMLIPA HIZO 20M AKADAI INTEREST YA KUCOVER INFLATION hata 5M zaidi, alafu MDA ALIOKAA NDANI UTAPOTEA BURE!!!! Consider APPEALING.
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Dar Expressm wako INSURED NA NIC, so zitalipwa zoteee! NIC CHAMA KUBWA WAMEPOKEA BONGE LA RUZUKU kulipa malimbikizo ya madeni!
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  lara 1 tumeshapitia all option, the best way ni kunigotiate na Complainant na kuendorse in court of law, payments is unavoidable kuliko kuanza sanaa za mawakili ambao wao Mahakamani ndio nyumbani kwao. Pesa ni makaratasi tu yanatafutwa na kuspend.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Okay! Ila what im saying Complainant awe anaeleweka, huwa wanakubali CHOCHOTE mwanzoni ili MUMPUNGUZIE HASARA YAKE, Ila mkishampa 1st payment ya 20M Huwa wanaanza kucheza na FINANCE hapo, Kudai INFLATION CHARGES, WATADAI GHARAMA ZA KUENDESHA KESI, COMPENSATION YA TIME VALUE OF MONEY, INTEREST YA HIYO PRINCIPAL(MDA WOTE TOKA PAYMENT IWE DUE!) ETC! ETC! Na mwishowe badala ya 20M itakuja kuwa hata 50M, na zote wako LEGALY ENTITLED wakicheza vizuri na sheria. Nshomile wengi wametajirika kwa kuabuse Business Laws. Haswa akiona mna nia sana ya kumtoa huyo ndugu! Mi I have a lawyer friend NDO MCHEZO WAKE KUWAFUTILIA MBALI waliofilisika thats why NAKUALERT MAPEMA!!!! Anawapa Hope ndugu wa mfungwa, wakipunguza deni, ana rise hizo chares za fidia, na valuation irudiwe upya!!! Hapana chezea NSHOMILE! MUWE LEGALY COMPITENT!!!! Lasivo HATOTOKA hata mkipunguza Deni hilo!
  Mi nitamuombea tu kwa Mola amjaalie. Wapi LAWYERS wa JF??????
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Aisee hapa utadhani watu huwa wanapiga ramli, ni kweli Complainant ni ushomile na ndio maana alihakikisha jamaa yuko behind the bars .

  Niko/tuko makini sana na hilo kwa sababu sisi hatukuwepo mwanzo wa kadhia hii yote ndio maana tunataka kuyamaliza kiutu uzima, atakayejifanya anajuwa sisi ni wajuaji zaidi, there is Invisible powers.
   
 14. s

  souvenir Senior Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Miaka 3 that means atatumikia kifungo for one and a half a yer kwa rufaa zetu za kibongo ni bora kukazania kulipa,meanwhile kama keshatumika nusu kifungo mwaweza ona watu wa parole apate msamaha hata Nyerere day au near holiday .
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Parole wanaconsider zaidi from 4 years sentence, na isitoshe next loop hall ni April next year, thats why our option is to pay the cash na Kamanda arudi kupigana vita mtaani.
   
 16. s

  souvenir Senior Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mhmh sijui labda,nachelea kusema hamjapa tu mu loop zip kibao yani masikuu yote kuanzia mashujaa,uhuru,x-mas,New year na nyinginezo?well its good kama mmeamua kulipa.
   
 17. Root

  Root JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,252
  Likes Received: 12,977
  Trophy Points: 280
  Tuache changia harusi eeeh

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Multi -perspective matter, stick to the quickest and if possible 'cheapest'
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  You hit the point, we are on it.
   
 20. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  nadhan lawyer wake hakuwa lawyer mzuri, there is always a loophole kwenye mkataba wowote unahusiana na mkopo nina experience ya hiki kitu na ndiyo maana siku zote wanaotajirika kwa mikopo ya bank uwa hawafungwi kwa kutolipia mikopo.
  Kama hapo juu mdau alivyosema kama inawezekana kukata rufaa na goodlawyer basi ifanyike hivyo na mwisho wa siku akiwashinda awadai fidia pia.
   
Loading...