Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Sioni ajabu, kuna mahali Tanga kijana wa kiislamu ameoa mwanamke kilema ambaye inabidi ambebe mgongoni kama mtoto kwa kila kitu, hawezi kutembea kabisa... Eti anatafuta thawabu wa Allah kwa kumuoa mlemavu .. Huwezi kuamini kabisa ninachokisema mpaka uone kwa macho. Afadhali hawa, huyu ni mfupi tu lkn otherwise he is OK.....
iyo thawabu ameshaipataSioni ajabu, kuna mahali Tanga kijana wa kiislamu ameoa mwanamke kilema ambaye inabidi ambebe mgongoni kama mtoto kwa kila kitu, hawezi kutembea kabisa... Eti anatafuta thawabu wa Allah kwa kumuoa mlemavu .. Huwezi kuamini kabisa ninachokisema mpaka uone kwa macho. Afadhali hawa, huyu ni mfupi tu lkn otherwise he is OK.....
unaweza ukawa na ujasiri na utubutu kama huoNi upendo wenye ujasiri na uthubutu
Tafadhari, mkuu usinitie majaribuniunaweza ukawa na ujasiri na utubutu kama huo
kwakuwa atakuwa mlemavu ndio unaogopa kuingiza majaribuni mtu huwa anajikuta yupo majaribuni tu na huamua moja,Tafadhari, mkuu usinitie majaribuni
Ila sio mlemavu wa akili auSioni ajabu, kuna mahali Tanga kijana wa kiislamu ameoa mwanamke kilema ambaye inabidi ambebe mgongoni kama mtoto kwa kila kitu, hawezi kutembea kabisa... Eti anatafuta thawabu wa Allah kwa kumuoa mlemavu .. Huwezi kuamini kabisa ninachokisema mpaka uone kwa macho. Afadhali hawa, huyu ni mfupi tu lkn otherwise he is OK.....
Sijamaanisha hivyo mm ila swali lako umeniuliza ili nijibu hivyo ulivyodhani lkn mm sikuwaza hilo mkuukwakuwa atakuwa mlemavu ndio unaogopa kuingiza majaribuni mtu huwa anajikuta yupo majaribuni tu na huamua moja,
hapana , upstairs yuko very fit! na actually wamezaa mtot mmoja sasa! sijui anamuingiaje jamani! Sky Eclat soma thread hii and comment pleaseIla sio mlemavu wa akili au
Unajua physiology ya mwanadamu tunatofautiana urefu na ufupi kuanzia kwenye viungo vya uzazi mpaka kwenye nyayo. Nyonga kwenda juu tuko karibu sawa sawa.hapana , upstairs yuko very fit! na actually wamezaa mtot mmoja sasa! sijui anamuingiaje jamani! Sky Eclat soma thread hii and comment please
Nitaiwanzisha kwao kama wewe ni Mo Dewjihuo ni upendo wa pesa
Ni maajabu kweli! Picha hujawekaUnajua physiology ya mwanadamu tunatofautiana urefu na ufupi kuanzia kwenye viungo vya uzazi mpaka kwenye nyayo. Nyonga kwenda juu tuko karibu sawa sawa.
Haya ni maajabu ya Mungu mwenyewe ili kufanya tendo la kujamiiana liwezekaze kwa karibu binadamu wote.
Angalia hiyo picha.
Picha ya maharusi hapo juu nimemaanishaNi maajabu kweli! Picha hujaweka
exactly, juu mwanamume yuko safi kabisa, ni huko chini ya nyonga! Nilikuwa sijaligundua hili!Picha ya maharusi hapo juu nimemaanisha
sky edith Lyimo nadhani unamfahamu. umesika habari zake !Picha ya maharusi hapo juu nimemaanisha
Hapana imempata nini tena?sky edith Lyimo nadhani unamfahamu. umesika habari zake !
amenyongwa na mtot wake, the only son! He was a drug pusher!Hapana imempata nini tena?