Huu ni upendo au ni pesa tu, dah mambo mengine sijui tuambieni wajuzi au watalam wa kupenda

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
49144857_535231223643050_905538109981065216_n.jpg
 
Sioni ajabu, kuna mahali Tanga kijana wa kiislamu ameoa mwanamke kilema ambaye inabidi ambebe mgongoni kama mtoto kwa kila kitu, hawezi kutembea kabisa... Eti anatafuta thawabu wa Allah kwa kumuoa mlemavu .. Huwezi kuamini kabisa ninachokisema mpaka uone kwa macho. Afadhali hawa, huyu ni mfupi tu lkn otherwise he is OK.....
 
iyo thawabu ameshaipata
 
Ila sio mlemavu wa akili au
 
kwakuwa atakuwa mlemavu ndio unaogopa kuingiza majaribuni mtu huwa anajikuta yupo majaribuni tu na huamua moja,
Sijamaanisha hivyo mm ila swali lako umeniuliza ili nijibu hivyo ulivyodhani lkn mm sikuwaza hilo mkuu
 
hapana , upstairs yuko very fit! na actually wamezaa mtot mmoja sasa! sijui anamuingiaje jamani! Sky Eclat soma thread hii and comment please
Unajua physiology ya mwanadamu tunatofautiana urefu na ufupi kuanzia kwenye viungo vya uzazi mpaka kwenye nyayo. Nyonga kwenda juu tuko karibu sawa sawa.

Haya ni maajabu ya Mungu mwenyewe ili kufanya tendo la kujamiiana liwezekaze kwa karibu binadamu wote.

Angalia hiyo picha.
 
Ni maajabu kweli! Picha hujaweka
 
Back
Top Bottom