Huu ni Unafiki wa kisiasa, Mwenyekiti wa CCM hukuona kuwa Mbunge wa Morogoro hafai?

Bila kupepesa macho ni wazi kuwa Mwenyekiti ni mnafiki sana

Jamaa hana sifa ya uraisi, basi tu system yetu ni mbovu
 
Bwana yule ni inconstant na at the same time inconsistent.Halafu hamna kitu kinachoitwa unafiki wa kisiasa mtoa mada.Ungetumia neno "UNAFIKI" tu ingebainisha ni tabia iliyo ndani ya mtu,ukisema unafiki wa kisiasa unalipunguza makali neno mnafiki
 
Kaka poole inaonekana wewe ni MwaCCM uliyepitwa na wakati. Kwa ufupi siasa za kinafiki ndio zipo nchini kwa sasa. Umeacha kushangaa bunge lenye wabunge wasiokuwa na vyama wala kuteuliwa na Rais unakuja kushangaa hiki kitu kidogo mno! poole saana viona mbali tulishayaona haya kitambo.....
 
Je, Chairman wa Ccm hakujua kuwa huyu ndugu Abood sio mtu mzuri,maana ametumia viwanda alivyonunua kukopa pesa badala ya kuviendeleza. Na kwa sababu hiyo sasa hivi kuna upungufu wa mafuta ya kupikia?

Nini hii habari ya kumbagaza mbunge ambae wewe mwenyekiti ulibariki apigiwe kura na wananchi baada ya NEC ya Ccm kumpitisha awe mgombea ubunge! Wewe haukuwaambia watu wa Morogoro wampe kura?
Alisema anampenda sana kama unakumbuka
 
Back
Top Bottom