huu ni umaskini au kutojali na kuthamin maisha?

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
546851_222783241187613_678487891_n.jpg

watu wengine!!!!!
 
Hizi pikipiki za mchina mbona balaa. Asubuhi nimeona nyingine humuhumu imebeba watu wawili na ng'ombe kapakatwa kwa katikati!
 
Hizi pikipiki za mchina mbona balaa. Asubuhi nimeona nyingine humuhumu imebeba watu wawili na ng'ombe kapakatwa kwa katikati!

ukiona kampala boda boda zinavyopakia utashangaa,watu adi 6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom