Huu ni Ukweli, Tanzania na Africa hatuwezi kuidhibiti Korona tena, its too late.
Km tungewahi kufunga mipaka yetu mwezi Machi mwanzoni leo tungekuwa tunachelea tu na dhana ya kuchapa kazi ingekuwa sawia.
HatukufUNGA Mipaka Africa..Tena Tanzania ndiyo tumefunga juzi juzi tumeshachelewa..hatuwezi tena. Kilichobaki ni kusublia tu nature ituhukumu.
Kwa life style yetu, kipato chetu viongozi wetu wangeusoma upepo mapema,,maamuzi ya kufungia mipaka Tanzania na kuruhusu only transport ya goods km yangefanyika mapema mwezi machi au february to leo tungekuwa tunafurahia. Watu tulishauri sana..Jf humu watu tulishauri, kwenye magroup ya whatsapp..Viongozi chukueni ushauri kwenye mitandao ya kijamii badala ya kukamata watu.
WHO wanadai kirusi cha korona kinaweza kukaa hewani kwa 4 hours, kwahyo hizi sanitizer, osha mikono au masks haziwezi ondoa tatizo. Afu mara ya kwanza tulipigwa propanganda waafrika huu ugonjwa hauwezi ua wafrik(WAKATI BLACM AMERICAN NDIYO WANAKUFA WENGI), mara hausurvive kweli joto ( wakati IRAN, QATAR, DUBAI WATU WALISHAANZA KUFA NA WANAJOTO KUBWA), mara sijui maugali tunayokula yanakinga sana..Hivi wewe mwafrika unakinga kuliko mzungu...nani alitudanganya ugali ni mzuri kwa afya.
Kwa sasa tusubilie tu wazungu wapate dawa au kinga, chanjo ili tuweze kutoka hapa. La sivyo hali ni mbaya. Jilinde wewe binafsi, lengo lako kwa mwaka huu iwe kubakia na afya na njema pamoja na uwapendao..pesa tutatafuta 2021.
Hali ni mbaya
Salute