The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,530
- 1,733
tupe mrejesho mkuu shebinationLeo kapelekwa na dada yake ambae ni mke wangu hospital. Nikipata majibu ntawapa feedback
Sent using Jamii Forums mobile app
tupe mrejesho mkuu shebinationLeo kapelekwa na dada yake ambae ni mke wangu hospital. Nikipata majibu ntawapa feedback
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana alikutwa na chlamydia. Kwa sasa anaendelea vizuri.tupe mrejesho mkuu shebination
Nimeweka mrejesho hapo juu pitiaTETEKUWANGA HIYO.
Vipi ulimwagiwa maji ya moto au?
KlamediaSi unajua tu hii lugha ililetwa na majahazi, wenzetu madaktari nao wana lugha yao. Sasa imekuwa mchanganyikeni kabisa.
Huyo kijana ni muhuni basi! Ana umri gani kwani?Kijana alikutwa na chlamydia. Kwa sasa anaendelea vizuri. View attachment 1061199
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaaa
19 mkuu.hata yeye mwenyewe baada ya kuomba msaada humu nilimuuliza akanijibu kwa uwazi kabisa. Bt nashkuru kwa msaada wa wana jf kijana anaendelea vizuri na doziHuyo kijana ni muhuni basi! Ana umri gani kwani?
Chanzo kikubwa cha huo ugonjwa ni kwa njia ya kujamiiana.
Uache kufanya ngono zembe bwana Mdogo, muhusika ni wewe mwenyewe acha Kuzuga hapa19 mkuu.hata yeye mwenyewe baada ya kuomba msaada humu nilimuuliza akanijibu kwa uwazi kabisa. Bt nashkuru kwa msaada wa wana jf kijana anaendelea vizuri na dozi
Sent using Jamii Forums mobile app