shebination
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 392
- 719
ngoja waje
kibamia sioaisee kama kidole cha mtoto!
Hahaaa.. Atafanyaje sasa nae anataka tiba.Kuna kpind vilikuwa vinanitoka hivyo kila mwezi na huopotea baada ya siku tatu. Ila uliisha wenyewe. Sijui ni ugonjwa gani. By the way mkuu unalipenda jina la kibamia?
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani kwamba dole gumba lake neneHahaaa.. Atafanyaje sasa nae anataka tiba.
Lakini huwenda nikibamia ikinywea ila iki ngangari inakuwa mid size ama bab kubwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kijana anaishi hapa kwangu so kaniambia kameanza Janadah sijui hii kitu ilipigwa kwa nokia ya tochii mana naiona ndogo sana?(sorry nje ya mada)
Yani kama ndugu yake hilo dole gumba
Mkuu hiyo ugonjwa ni yako Imwkuanza lini?
Nenda hospitali
,mbona kama govi linataka kurudi??