Huu ni ugonjwa gani (wadada)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
1. Ana chat na watu kibao ila simu yake haina msg hata moja kila siku
2. Rafiki zake wengi ni wanaume tena waliomzidi umri
3. Huwezi kusikia anazungumzia mapishi
4. Anapenda kula mitaani
5. Hana uhusiano wa karibu sana na mama ake, inaweza pita hata miezi mitatu hajawasiliana naye.
6. Anatongozwa na wanaume wengi na akitongozwa anakuambia kwanini amewakataa
7. Ya mwisho anafungua soda na meno....
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom