Huu ni ugonjwa gani? Nywele hazioti sehemu fulani ya kichwa tena katikati au nyuma ya kichwa karibu na sikio

Mkuu ikubali tu hali yako nyoa kipara maisha yaendelee

Km haiwashi wala kuuma yanini kuteseka
 
Hio minoxdil sijui kama ataipata bongo labda aagize eBay, pia kama ni matatizo ya ngozi kwa mda mfupi inaweza kumsaidia ila kama ni upara wa asili labda aende Uturuki kuziotesha
Hapo nakiete mwenge haijapatikana sijui ni duka gani la dawa kwa Dar inaweza kupatikana.
 
Alopecia areata......pia utokea kwa njia ya kurithi au kuwa na stress sana

Kiasi mwili unajishambulia

Matumizi ya dawa zake zikipitiliza huwa zinaathiri mfumo wa pituitary gland



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hii minoxidil
bec758d362659bac1e7ededf479c97deb9466781_original.jpg
 
Tafuta hela mkuu ,hata Elon Musk alianzia hivyo hivyo alivyokua bìlionea tu nywele zikawa na adabu by default
 
Habari wakuu? Nimeambatanisha picha hapa chini,kwa sasa nipo mbali na hospital kubwa nilitaka kujua kwanza kwa sasa nina miezi nane ,nywele hazioti sehemu moja inabaki kama kishilingi hivi.

View attachment 1734306
SAMI ABRASI Mjusi Damu Yake Ukipakaa Sehemu Ambapo Hapaoti Nywele Zitaota Nywele Hizo, Pia Ngozi Take Ukibandika Sehemu Iliyovimba Kwa Maradhi Ya ( Hernia ) Kila siku Usiku Bandika Mpya Kwa Siku 7 Uvimbe Utaondoka
MJUSI.jpg
 
Back
Top Bottom