Huu ni ugonjwa au ndo kumwogopa Mungu?

peter daudi

Senior Member
Sep 16, 2012
112
30
Jamaa mmoja alikuwa na mawasiliano na dada mmoja(wakiitana mme/mke).jamaa alikuwa masomoni Dar na dada alikuwa nyumbani .Sasa muda wa mazoezi ukafika, jamaa akaenda mazoezini(kufundisha) karibu kabisa na yule dada(ndani ya wilaya).Basi wakakubalian kukutana kwa maana ya dada kwenda kwa jamaa.Dada aKasafiri salama na kufika kwa jamaa.Usiku mzima ukapita jamaa "NO ACTION" .Dada kakosa raha kabisa kiasi kwamba hata chai ikawa ni ngumu kunywa.Mchana ukapita,usiku mwingine tena "NO ACTION". Kesho yake dada akakosa amani zaidi na kusababisha kuwa mtu mwenye huzuni mda wote.Basi mwalimu wakike(naye alikuwa mazoezini) akapewa jukumu la kumdadis yule dada na akapata kufunguku kuwa jamaa hataki "KUDO".Kwanza analala na nguo na nikimsogelea anashuka kitandani na kutandika shuka chini na kulala.Jamaa alipo ulizwa akasema ni dhambi.Dada(mwalimu) akamwelekeza juu ya huzuni aliyokuwa nayo rafiki yake na sababu yake, jamaa akajibu kwamba atalekebisha ile hali.Usiku tena "NO ACTION".Asubuhi dada(mwalimu) anakuta bado yule dada yuko na huzuni kiasi cha macho kuwa mekundu.Basi yule dada akashauriwa kurudi nyumbani(SIKU YA NNE) kwao kama alivyokuja. Sasa Je! Huu ni ugonjwa au ndo kumwogopa mungu?.
 
Huo utakuwa ni ugonjwa au woga! kwani wakati anamkaribisha kwake alifikiri anakuja kumpa hadithi za kale!! anyway sijui:thinking:
 
mmh huyo jamaaa labda atakuwa anithi manake kuna baadhi ya mapadre ambao tunaamini ni watu wa Mungu sana na hawatakiwi kuoa lakini tunajua wanado. Huyo jamaa ana matatizo
 
Jamaa atakuwa siyo mzima,ila binti alikwenda kwa jamaa kugawa uroda au dhumuni lilikuwa nini?
 
mmh huyo jamaaa labda atakuwa anithi manake kuna baadhi ya mapadre ambao tunaamini ni watu wa Mungu sana na hawatakiwi kuoa lakini tunajua wanado. Huyo jamaa ana matatizo

Ndio maana wanatakiwa wawe shababi ili waweze kujihami! huku si kutafuta vita bali kujihami, hivi ingekuwa mimi ingekuweje...... ok mimi nisinge mkaribisha!!!
 
wee afu mbona Mungu umeifanya iwe na m ndogo badala ya kubwa?

Umenichakachua bana

Pole sana, labda zako zilikuwa zinanichanganya, hata Mungu kitabu chake kimeandikwa' watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa' we fikiria kama yule mwalimu angejinyonga kwa mtindio wa mawazo na hamu ingekuwaje?
 
ANAUMWA, POLE ZAKE.....DADA WA WATU ALITAKA **DOCUMENT KWANZA, MZIGO BAADAYE**...SASA DOCUMENT HAZIJASOMEKA, MZIGO HAUSHUKI....NA JAMAA PIGA UA KWA ALICHOKIFANYA DAAH,

KWA WADADA MACHACHARI KAMA LARA1 BONGE LA MSONYO NA MADHARAU KIBAO.....................
SAA ZINGINE MWANAUME INABIDI UTII HISIA ZA GAL, COZ VINGINEVYO DHARAU MBAYA.

maneno yangu si sheria mpaka uyafuate
 
Ku-do kabla ya ndoa halali ni uzinzi. Inapowezekana ni bora kuliepuka hilo kama alivyofanya kijana.
 
Jamaa mmoja alikuwa na mawasiliano na dada mmoja(wakiitana mme/mke).jamaa alikuwa masomoni Dar na dada alikuwa nyumbani .Sasa muda wa mazoezi ukafika, jamaa akaenda mazoezini(kufundisha) karibu kabisa na yule dada(ndani ya wilaya).Basi wakakubalian kukutana kwa maana ya dada kwenda kwa jamaa.Dada aKasafiri salama na kufika kwa jamaa.Usiku mzima ukapita jamaa "NO ACTION" .Dada kakosa raha kabisa kiasi kwamba hata chai ikawa ni ngumu kunywa.Mchana ukapita,usiku mwingine tena "NO ACTION". Kesho yake dada akakosa amani zaidi na kusababisha kuwa mtu mwenye huzuni mda wote.Basi mwalimu wakike(naye alikuwa mazoezini)
akapewa jukumu la kumdadis yule dada na akapata kufunguku kuwa jamaa hataki "KUDO".Kwanza analala na nguo na nikimsogelea anashuka kitandani na kutandika shuka chini na kulala.Jamaa alipo ulizwa akasema ni dhambi.Dada(mwalimu) akamwelekeza juu ya huzuni aliyokuwa nayo rafiki yake na sababu yake, jamaa akajibu kwamba atalekebisha ile hali.Usiku tena "NO ACTION".Asubuhi dada(mwalimu) anakuta bado yule dada yuko na huzuni kiasi cha macho kuwa mekundu.Basi yule dada akashauriwa kurudi nyumbani(SIKU YA NNE) kwao kama alivyokuja. Sasa Je! Huu ni ugonjwa au ndo kumwogopa mungu?.


Ndugu Peter Daudi mi nadhani siri ya hii kitu anayo mwenyewe mhusika(kaka).ni vigumu kuusemea moyo wake lakini pia tukkijiuliza kiupana zaidi inaleta maswali kwamba kama alijua ni dhambi ni kwa nini wakubaliane dada aje kwake wakati hawajaoana?Kuna uwezekano mkubwa huyu kijana akawa ana tatizo la kitaalamu a.k.a uhanithi but sio kusingizia eti ni dhambi.Kwa sababu dhambi sio tu KU-DO hata tu kumtazama mtu wa jinsia tofauti kwa kumtamani tayari umeshafanya dhambi mbele za Mungu. Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom