Huu ni ugonjwa ama?

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,158
wanajf nilishawahi kupost siku za hapo nyuma kuwa napenda ngono sana.Lakini siku za hivi karibuni hii hali imezidi kuongezeka nina hamu sana ya ngono yani hata nikiangalia watu wanakiss kidogo mimi huku teari au nikisikia mambo ya mahaba mimi hoi kiasi kwamba hata siwazi mambo mengine?nifanyeje?
 
Aise mimi bado mdogo hayo mambo siyajui
Huna kazi za kufanya au uko idle muda mrefu
au unaangalia sana porn au uko alone kwako
 
yote hayo sio kweli nafanya kazi lakini pale tu napopata muda kidogo nawaza hayo mambo tu na raha yake
 
Mkuu majukumu yakiwepo na yakiwa yanakusumbua hata hilo wazo la ngono hutakuwa nalo
Keep yourself busy all the time na weka mawazo yako katika maendeleo na achana na kuwaza skirt ambazo zipo muda wote na zitaendelea kuwepo tena nzuri zaidi ya hizi
Waza maendeleo yako na waone hawa viumbe watu wa kawaida na fanya mapemnzi au waza mapenzi pale inapobidi
 
wanajf nilishawahi kupost siku za hapo nyuma kuwa napenda ngono sana.Lakini siku za hivi karibuni hii hali imezidi kuongezeka nina hamu sana ya ngono yani hata nikiangalia watu wanakiss kidogo mimi huku teari au nikisikia mambo ya mahaba mimi hoi kiasi kwamba hata siwazi mambo mengine?nifanyeje?

Mbona si tatizo!!! ukickia hamu y kufanya ngono si ufanye ......au huna demu?
 
Mkuu majukumu yakiwepo na yakiwa yanakusumbua hata hilo wazo la ngono hutakuwa nalo
Keep yourself busy all the time na weka mawazo yako katika maendeleo na achana na kuwaza skirt ambazo zipo muda wote na zitaendelea kuwepo tena nzuri zaidi ya hizi
Waza maendeleo yako na waone hawa viumbe watu wa kawaida na fanya mapemnzi au waza mapenzi pale inapobidi

ahsante mkuu ntajitahidi kufanya hivyo yani hapa kwenyewe teari
 
wanajf nilishawahi kupost siku za hapo nyuma kuwa napenda ngono sana.Lakini siku za hivi karibuni hii hali imezidi kuongezeka nina hamu sana ya ngono yani hata nikiangalia watu wanakiss kidogo mimi huku teari au nikisikia mambo ya mahaba mimi hoi kiasi kwamba hata siwazi mambo mengine?nifanyeje?

mkaka hiyo hali wala hata sio ugonjwa' fanya usiwe unakaa idle so kama huwa hufanyi mazoezi jitahid uanze koz baada ya mazoez mwili utakua umechoka so mawazo hayo hayatakuwepo. Na mazoezi ufanye ya kweli kwel kwamba mpaka mwili unachoka
 
Pole sana, kama unahisi ni tatizo jaribu kutafuta njia mbadala za kuepukana nalo kama ulivyoshauriwa,lakini kwa maongezi yako unaonekana unafurahia hali hiyo,pole sana! Binafsi nimeanza ka mchezo hako ka mambo ya kikubwa mwezi uliopita tu,kwa mara yangu ya kwanza nilienda mara 13,baada ya kupata ushauri wa daktari haikuonekana kama ni tatizo; so zingatia ushaidi wa wadau.
 
Unajiendekeza, kesho utaingiwa na mawazo ya kupiga chabo then utakuja tena kuuliza nao ni ugonjwa?
 
Back
Top Bottom