Huu ni Uchawi wa Wamasai hii ni kali kuipita zote jamani...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni Uchawi wa Wamasai hii ni kali kuipita zote jamani......

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 14, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Averos

  Averos JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 648
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  kazi ni kwako
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hao wamasai wanaroho ngumu kama jiwe, duuuuuuh yaani wanyama wote waliopo hadi wakapore kitu cha mzee wa mwitu, maajabu ya Mussa haya.
   
 4. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Hii ni kazi ya HOLLYWOOD.
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Aisee....
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  duuuh!
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Unavyofikiria wewe kuwa ni kazi ya HOLLYWOOD?kaa na imani yako hivyohivyo.......
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Dah! huu ni ujasiri wa hali ya juu! Simba 15 wanaingia mitini kwa Wamasai watatu!
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Siyo kazi ya HollyWood hebu angalia video nyingine katika you tube hapo hapo ulipofungua utaona kama ni usanii.

  Hapo sasa halafu jamaa kiulani kabisa wanaondoka, lakini mimi nadhani hawa jamaa lazima watakuwa na madawa ya kienyeji kidogo!
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bado inasadikika wao ndio bado wana mambo ya asili mpk karne hii ya 21 Africa nzima. Uliza uambiwe. Olayeni supai!! Hiyo ni moja ya salaamu ktk lugha yao.
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kabisa Mkuu na pale walipochuchumaa kwa dakika chache labda ndio walikuwa wanafanya "vitu vyao" :):) kabla ya kuuvamia mzoga ule wa Simba wale tena wenye afya tele.
   
 12. B

  Balozi Chriss Senior Member

  #12
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo mnakaa Dar tu hivyo kila jambo mnashuhudia likiwa tayari second hand....Hiyo mambo ni live na kweli,huku pande za Kaskazini tumeshazoea maisha yao na amani usiamini nasisi wahamiaji wa pande hz tuneshafundishwa hizo maujasiri.
  TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE.Karibu Arusha,jivunie kuwa mtanganyika.
   
 13. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Simba wa siku hizi si jasiri kama wa zamani, kuna mabadiliko ya ajabu yanatokea unakumbuka zamani kuku mwenye vifaranga alivyokuwa anakuwa mkali ona kuku wa sasa mwenye vifaranga, ukimsogelea, anakimbia kaa usain bolt.
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Waambie ya kwamba waje waone live hawa Ndg walivyo wajasiri,tembeleeni huku mjionee. Hawa ndg siyo wakorofi lakini we wachokoze bila shaka CHUNGU KAMA NGOROTIKI utajua ndiyo lugha yao ama wamekosea matamshi.
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu unasema uongo mnyama ni mnyama wewe huyo huyo kuku jaribu kuchukua kitoto chake uone atakavyo kuvamia na kukupiga . Simba Wa sasa na simba wa Zamani wanatofauti gani? Wewe ukienda kwenye mbuga za Wanyama msogelee Simba uone atakavyokutenda .
   
Loading...