Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
[h=3][/h]




Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha ------ nje....


Shabiki huyo alipanda jukwaani kumkumbatia msanii maarufu nchini , Ommy Dimpoz wakati alipokuwa akitoa burudani katika mashindano ya Redds Miss Tabora.
Tukio hilo la aibu lilitokea mbele ya wabunge....

VITUKO+REDDS+MISS+TABORA.jpg

VITUKO+REDDS+MISS+TABORA+2.jpg

Mbunge wa Jimbo la Sengerema Bw.William Ngereja akiwa na Diwani wa kata ya Kitete manispaa ya Tabora Bw.Daniel Mhina ambaye alikuwa MC katika onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora.


 
Mbona sioni huo uchafu unaousema? watu wanaangalia tools, na Ngeleja yuko Interested.
 
Nilivyosoma heading na kuangalia hiyo picha ya kwanza kabla sijasoma maelezo, nikadhani uchafu unaozungumzwa ni huyo binti kashusha kinyesi hadharani...
 
Naomba kuuliza...wakati mwanamama huyo anamwaga radhi, Ngeleja alifunika uso wake au aliendelea kukodoa macho kodokodo?
 
Halafu hizi pilipili hoho wanazovaa, hazifuniki makalio kabisa. Halafu mdada yuko fit hapo back.
 
of course anakuthibitishia hayupo kwenye ck zake biashara inaongeleka
aah wap mkuu....wanaweka zile za kuchovya....zinanyonya ile nani hii yote akitoka hapo anabadili....muulize mumiani StevieDii
 
Halafu hizi pilipili hoho wanazovaa, hazifuniki makalio kabisa. Halafu mdada yuko fit hapo back.
aisee arifu.....dada la kinyamwezi mashaallah....huwezi kukuta hizi makitu moshi....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom