Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
[h=3][/h]
Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha ------ nje....
Shabiki huyo alipanda jukwaani kumkumbatia msanii maarufu nchini , Ommy Dimpoz wakati alipokuwa akitoa burudani katika mashindano ya Redds Miss Tabora.
Tukio hilo la aibu lilitokea mbele ya wabunge....
Mbunge wa Jimbo la Sengerema Bw.William Ngereja akiwa na Diwani wa kata ya Kitete manispaa ya Tabora Bw.Daniel Mhina ambaye alikuwa MC katika onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora.