Nimekua nikiangalia wachezaji wanapojipanga kuingia uwanjani kabla ya mpira kuanza (namaanisha mpira wa mguu), kamteni wa timu ndiyo utangulia akifuatiwa na mlinda lango (namaanisha goal keeper) na wanaofuatia nyuma amna mpangilio maalum.
Iwapo team kapteni ni mlinda lango, ndiye atakaetangulia na wanaofuatia nyuma yake sijaona utaratibu wowote ukitumika, sasa naomba kwa wanaojua sheria za mpira wa mguu...je ni sheria au ni nini kinatokea kwani ni muda mrefu hua nafuatilia jambo hili.
Angalia baadhi yapicha.