Godo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 956
- 1,316
Mkuu tambua FAO la kujitoa hakuna mpaka umri wa kustaafu vinginevyo labda kama umechangia kwa muda walau miaka 15.bro hao PSSSF huwa wanazingua kutoa helaaaaa!
UWE NA UHAKIKA KABLA YA KUTEMA KAZI

Vp NSSF nao....... manake kuna mwana nae ana akili kama za huyo jamaa, ana hela yake kama mil 7 NSSF.bro hao PSSSF huwa wanazingua kutoa helaaaaa!
UWE NA UHAKIKA KABLA YA KUTEMA KAZI
Kusave ngumu sana.Take a risk bro usiogope kama hujaweza kusave mshahara ukapata mtaji basi ulipoteza muda bure
Wanaofanya hivyo wakishastaafu kila kitu kinaondoka sababu pesa ya ajira na mikopo ya mshahara ndio inakuwa inasustain biashara lakini akianza mapema kujifunza kukopa ktk microfinance na kurudisha mdogo mdogo anakua.Hongera kwa uwamuzi naotaka kuchukua, kwenye maisha inabidi uthubutu hakuna kuogopa.
Pia kama unaweza kupata hizo m4 ukatafuta na watenda kazi wakaanza kufanya hicho unachotaka kufanya halafu mke akawa anawasimamia na kwenda mara kwa mara mpaka hapo mambo yatakavyoenda vizuri
Ndio uamue kuacha kazi kabisa
Maana hizo m4 sijui ni zitanunua eneo la ufugaji na kilimo au zitajenga mahala pa kuishi wewe na wafanyakaz wako au zitanunua mbegu za kuruwe au kuku au mbegu za kilimo cha nyanya?
Zitanunua chakula cha mifugo unaotaka kufuga?
Au zitanunua mbolea kwaajili ya kilimo?
Au zitatumika kwenye matumizi mengine kama chakula n.k?
NAKUSHAURI ANZA KABLA UJAACHA KAZI ILI CHANGAMOTO ZINAZOTOKEA HUSUSANI ZA KIFEDHA UWEZE KUZITATUA KWA HARAKA MAANA UTAKUA UNAINGIZA KIPATO KUPITIA AJIRA YAKO.

Fuga Cobra...wanalipa sanaHabari wakuu,
Baada ya kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda sasa bila ya kuyafikia maisha ya ndoto zangu, pia baada ya kuishi maisha nisiyopendezwa nayo (kukosa uhuru wa kipato) nimekaa na kutafakari kwa kina juu ya hatma ya maisha yangu na kufikia maamuzi yafuatayo.
Mosi, kuna 4.3m PPF, hiki ni kiasi ambacho nilishindwa kukitoa enzi za mwendazake baada ya kupoteza ajira. Sasa niko kwenye kampuni nyingine ambapo michango yangu mpaka sasa ni 5m,so nataka nizihamishie huku na mpaka March mwakani unapoisha mkataba wangu nitakuwa na si chini ya 10m.
Pili,kabla ya December mwaka huu nitaenda Morogoro kufanya ziara maana kuna mshikaji wangu yupo kule naye alikuwa mwajiriwa somewhere akaamua kuacha kazi na kujikita katika kilimo na ufugaji (yuko njema sana), huyu jamaa yangu atakuwa msaada sana kwangu katika kutimiza matarajio yangu.
Tatu,nikishachukua hicho kiasi namfungulia wife mradi wa 2m nyumbani then mimi nasepa zangu porini ambapo nitafanya yafuatayo
. Kufuga nguruwe na kuku
. Kulima nyanya za kumwagilia
Hayo hapo juu nitayafanya kwa 4m na kiasi kilichobaki ambayo itakuwa ni 4m nitaiweka akiba then nitakitumia kununulia mazao kama mahindi nk kipindi cha mavuno.
Karibuni wakuu kwa ushauri zaidi.
Kwaiyo work in silence au sio??#Save the date Miaka kumi ijayo...Mwenyezi MUNGU akitujalia uhai Tutarud kukomenti......
Ukianza kutangaza tangaza kua una acha Kaz jua haupo sahihi.....ngoja nikueleze kitu Huwa tuna acha Kazi then tunakuja kuwasimulia watu...after make it happen...
Safi sana, ila huku mtaani, yaani kujiajiri siyo mchezo mchezo mwamba, karibu na ufanye kazi ikiwezekana mara 3 zaidi ya ulivyoajiriwa, umakini na kutumia akili zaidi kuliko nguvu kunahitajika, akiba 60% ya income yako, ubahili na anasa utupe kule mkuu maana kutokuwa na ajira kwaweza sababisha songombingo kwa mama watoto na familia yako ulipotoka..Habari wakuu,
Baada ya kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda sasa bila ya kuyafikia maisha ya ndoto zangu, pia baada ya kuishi maisha nisiyopendezwa nayo (kukosa uhuru wa kipato) nimekaa na kutafakari kwa kina juu ya hatma ya maisha yangu na kufikia maamuzi yafuatayo.
Mosi, kuna 4.3m PPF, hiki ni kiasi ambacho nilishindwa kukitoa enzi za mwendazake baada ya kupoteza ajira. Sasa niko kwenye kampuni nyingine ambapo michango yangu mpaka sasa ni 5m,so nataka nizihamishie huku na mpaka March mwakani unapoisha mkataba wangu nitakuwa na si chini ya 10m.
Pili,kabla ya December mwaka huu nitaenda Morogoro kufanya ziara maana kuna mshikaji wangu yupo kule naye alikuwa mwajiriwa somewhere akaamua kuacha kazi na kujikita katika kilimo na ufugaji (yuko njema sana), huyu jamaa yangu atakuwa msaada sana kwangu katika kutimiza matarajio yangu.
Tatu,nikishachukua hicho kiasi namfungulia wife mradi wa 2m nyumbani then mimi nasepa zangu porini ambapo nitafanya yafuatayo
. Kufuga nguruwe na kuku
. Kulima nyanya za kumwagilia
Hayo hapo juu nitayafanya kwa 4m na kiasi kilichobaki ambayo itakuwa ni 4m nitaiweka akiba then nitakitumia kununulia mazao kama mahindi nk kipindi cha mavuno.
Karibuni wakuu kwa ushauri zaidi.
Waswahili Wana usemi wao simba kwenda pole ndio mla nyama....Kwaiyo work in silence au sio??