Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

Yes, ukiweka kiasi tajwa unapokelewa Airport (bure), unapelekwa hoteli ya nyota 3 (bure), unaanza tours zote kesho yake na siku zinazofuata (bure), viingilio na watakaokuzungusha (bure), chakula cha mchana huko kwenye tours (bure).

Kwa ufupi gharama za Hoteli, Usafiri kutoka Airport na Tours zote ni BURE baada ya kulipia hicho kiasi cha package.

Gharama PEKEE zitakazokuhusu ni Tiketi ya Ndege, Vipimo vya Uviko na Visa tu!
Uliweka kitaalam sana 😀😀😀
Anyway ngoja nijichange nione kama nitafikia malengo.
 
Hawa watu ni wa ajabu sana.

Ndio maana wananchi wa nchi hii wataendelea kuburuzwa milele. Mijitu iko so negative

Inakera sana
Kiongozi hapo juu umemlaumu mdau kwa kutumia lugha isiyo ya kistaarabu.Hapa wewe unaita binadamu wenzio "mijitu" nilidhani wewe unayekosoa watumia lugha isiyioya kistaarabu,utakuwa mfano lakini naona kama sivyo.
 
Apologising
 
hiyo elimu ningependekeza uiweke wazi wadau wote tuone, haya mambo ya ''tucheki DM/PM/INBOX'' yanatia mashaka

Kama ni kampuni halali na iliyosajiliwa na mko verified hapa JF sioni sababu ya kuwa na maneno meeengi bali tunataka tuone hizo habari nzuri.. It is like mnabishana na mteja kwa kitu ambacho ni cha kwenda straight to the point, Mawasiliano yakiwa wazi mtu ndio anakuwa wazi kuja inbox, ofisini au asije. Wengine tuna hisia mbaya tunavyoambiwa njoo inbox kwa ajili ya kuogopa ''upigwaji''

Jamaa atakuwa tapeli, subiri
 
Hawa watu ni wa ajabu sana.

Ndio maana wananchi wa nchi hii wataendelea kuburuzwa milele. Mijitu iko so negative

Inakera sana
Acha ujuaji, awaambie ukweli kwamba utalipa nauli kiasi kadhaa na hiyo laki 5 ndiyo kwa ajili ya matembezi n.k huko aendako.
 
Ametangaza bandiko lake vizuri kwamba service yake inafanyika ndani ya Istanbul. Utafikaje huko?? That's none of his/her business
 
Back
Top Bottom