Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

Ametangaza bandiko lake vizuri kwamba service yake inafanyika ndani ya Istanbul. Utafikaje huko?? That's none of his/her business
"Kiukweli tatizo sio kibunda bali ni taarifa mkuu (kamtaja member) Watanzania wengi hawajui kuwa baadhi ya safari za kutalii nje ya nchi ni cheap zaidi kuliko hata za hapa ndani.

Mfano katika Msimu huu zipo packages za kwenda Uturuki na gharama inaanzia laki 5 tu ($230) kwa siku 4 hadi 5. Utashindwaje hapo?"

Watu walivombana bana maswali ndiyo akafunguka vizuri, kwamba hiyo laki 5 haihusu nauli wala vipimo vya COVID19. Bandiko lilikua halijajikamilisha ila wewe ukawa unaleta ujuaji.
 
Mkuu kwa mtu aliyewahi kusafiri overseas hayo siyo maswali ya kuuliza! Na hata kama mtu hujawahi vitu vingine si unajiongeza tu mwenyewe hivi kweli utegemee laki tano ikainclude hadi ticket ya ndege go and return hata kama mtu hajaelezea vizuri?
 
"Kiukweli tatizo sio kibunda bali ni taarifa mkuu (kamtaja member) Watanzania wengi hawajui kuwa baadhi ya safari za kutalii nje ya nchi ni cheap zaidi kuliko hata za hapa ndani.

Mfano katika Msimu huu zipo packages za kwenda Uturuki na gharama inaanzia laki 5 tu ($230) kwa siku 4 hadi 5. Utashindwaje hapo?"

Watu walivombana bana maswali ndiyo akafunguka vizuri, kwamba hiyo laki 5 haihusu nauli wala vipimo vya COVID19. Bandiko lilikua halijajikamilisha ila wewe ukawa unaleta ujuaji.

Mkuu Hadrianus, sisi tulichofanya ni kuelezea package tulizonazo katika msimu huu wa Sikukuu. Na ndizo bei zake wala hatujadanganya lolote.

Kuhusu kubanwa maswali wala hatujaichukulia tofauti, tumetoa ufafanuzi kwa kadri maswali yalivyokuwa yanaulizwa. Ndivyo namna Jukwaa linafanya kazi. Hatubandiki tu na kuondoka.

Karibu tukuhudumie. Umependa package ipi kati ya tulizochapisha tukuandalie?
 
Hujajibu pm zangu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
2. ZANZIBAR PACKAGE

Hii ya nyumbani kabisa.

View attachment 2089443

Gharama ya Package ni Dola 898 sawa na takribani Milioni 2 tu.

Yaliyomo:
1. Utafikia Hoteli ya Melia yenye hadhi ya nyota 5 na utalala hapo kwa siku 3 mfululizo.
2. Chakula ni bure asubuhi, mchana na usiku.
3. Siku nzima utatembezwa katika Mji wa Kale wa Stone Town pamoja na Kisiwa cha Prison Island.
4. Siku nyingine (nusu siku) utaenda kufanya utalii wa kutazama jua linavyozama kwa view nzuri.
5. Usafiri bure kurudi Airport au Bandarini

NB: Hii imeanza Januari 7 na mwisho wake ni Februari 28, 2022.

Gharama za usafiri kutoka ulipo kufika Zanzibar ni juu yako. Hii kwa watu wa maeneo jirani kama Dar na Tanga wataichangamkia sana. Au wote waliopo maeneo ya Pwani ya Afrika Mashariki hawatatumia gharama kubwa ya nauli.

Mawasiliano: 0757 212 122 / 0737 555 522
Karibuni.

Naomba kuuliza umesema siku 3 mfufulizo means night tatu utalala kwa hotel.

1.Mfano mtu avuke na boti ya saa 12 asubuhi.. kuanzia saa 4 atakua hotelini tu anasubiri kesho yake kutembea stone town? Na kama ukiomba apungumzike mnafidia vipi mda wa siku nzima kukaa hote. Usiku wake ni first night

2. Kama mkaamua mtembeza kuanzia iyo saa 4 stone town na prison island , means kesho yake mtakua naye siku kutazama sunset. usiku wake ni second night

3:hii siku ya 3 mtamsadiaje maana package yenu itakua imeisha.usiku wake ni third night

4: hii siku ya mwisho anayoamkia hotelini kama ana tiketi ya kurudi dar jioni, mnamsaidia vipi
 
Back
Top Bottom