Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,268
- 1,652
Maajabu ya Tz.
1. IPTL ilifunguliwa nchini na inakuwa registered kwamba wamiliki wake ni wawili ,mmoja ni VIP mweye 30% na mwingine 70%, lakini brella haimtambui mmiliki wa pili mwenye 70% inatambua mmoja ambaye ni rugemalila mwenye 30%.
2. IPTL ikiwa bado ina kesi mahakama ya kimataifa PAP anaruhusiwa kununua IPTL, Mamlaka wala hazizuii na kusema jamani subiri kesi iishe ndo ununue.
3. Kesi ikiwa mahakama ya kimataifa PAP anapewa pesa na umiliki wote wa mali za IPTL kwa kudanganya amemalizana na mbia wa IPTL ( rugemalila) mweye 30% ajulikanae brella na ndo alisign mkataba na Tanesco.
4. Tanesco wanasema sisi hatuijui SCB-HK, wakati huo huo SBC-HK alisign mkataba kati ya IPTL na Tanesco kama mnunuzi wa deni la Malaysia bank ambae alikuwa mbia wa awali wa IPTL, hivyo rights zote za IPTL zikawa transferred to SCB-HK.
5. Gavana wa Benki anaomba kinga kabla ya kulipa pesa kutoka kwa PAP kwamba kama wew sio mmiliki halali wa IPTL ,wew ndo utabidi ulipe deni serikali haitahusika, kwa hiyo moja kwa moja Gavana wa benki alijua kuwa PAP sio mmiliki ndo maana akaomba kinga, na alijua kuwa hapa tunakwenda kulipa kampuni Hewa lakini utafanyaje kama mamlaka zinataka hivyo? -----asante ndulu kwa kuliona hilo.
6. PAP anamhakikishia Gavana kuwa usiwe na shaka nitalipa deni wew nipe hizo pesa, baada ya kupewa anatoa pesa anampatia 30% VIP,na anabakiwa na 70% yake, huyu mnunuzi tuliambiwa kanunua IPTL iweje anasubiri pesa za Tanesco ndo amlipe mhusika wa IPTL? je alinunua 70% ya IPTL tu na zile 30% ikabidi asubiri pesa za Tanesco? ( PAP kanunua kampuni akiwa hana pesa yeyote-----wizi)
7. Mahakama ya kimataifa imetoa hukumu, Tanesco sasa wanaambiwa walipe SCB-HK kama mmiliki halali wa IPTL, hapa ndo tunagundua kuwa PAP alitupiga , anatupiga hadi sasa na atatupiga, PAP ni kampuni Hewa iliyoanzishwa haraka haraka na wanjanja kupiga pesa za Escrow , sasa badala ya kuchangamka na kuanza kuwachukulia hatua wahusika waliofanikisha zoezi hili kina singasinga( arudishe pesa na kufungwa), mwanasheria, hakimu fake na wengineo ,sisi tunabaki tunashangaa .....tuache mambo ya vyama, hapa kuna wizi, na serikali inatakiwa iwachukulie hatua wahusika.