Huu ni mtihani mkubwa sana kwa wanaume wenye wake wa ndoa

Sio kosa lako.

Its all in your little brain.

That womens are objects for sexual pleasure.
Yaan mlivo watamuu hivi Acha tuu tujilie papuchi hiz ni mwendo wa kuosha rungu tuu jaman msitunyime plz uzen tuu tutanunua kwa bei yyte jmn
 
Pambazuko fm‏ @pambazukofm Apr 5
BUNGENI: Naibu waziri wa afya, @DocFaustine amesema watu wanaoenda kupima vinasaba(DNA) wanakuwa tayari wana wasiwasi ndio maana watoto wanne kati ya sita sio wa baba mhusika. -Amesema Takwimu hizo haziwakilishi ujumla wa watanzania hivyo wanaume wasikimbie majukumu yao.

'Ni kweli kabisa Waziri ulichokisema lakini bado matokeo haya ni mtihani mkubwa sana kwa wanandoa'

Unafikiri mkapimwa familia na matokeo yakawa kama Waziri alivyosema utachukua hatua gani?
Kuna msemo unasema "kitanda hakizai haramu"
kama unaogopa kupewa motto wa zawadi ni
afadhari usioe,japo si lazima kuchapiwa ila
kuna mazingira yanaweza kusababisha kuchapiwa
sasa kama una moyo mwepesi,usiingie kwenye ndoa.
 
Mkuu, mbona hasira mob sana.... Nini mbaya..
Wapi nimeonesha nina hasira? Nimekua concerned na jibu lako as a man. Wanaume wote humu na kwingineko hawaafiki jambo hili and that's just a human nature ila wewe wala, hata hushituki. Hapo inaaminisha aidha wewe ni ke au me who shoots blank.
 
Sijaahtuka kwasababu mimi ni Ke
 
kweli kabisa wa kati au mwisho
mwanzo mahaba yanakuwa hot mara chache sana mtu akubambikie
familia nyingi kunakuwa na mtoto mmoja haeleweki yani hafanani na wenzie,baba wala mama
Hili sio kweli, kuna daktari mmoja aliwah kunambia mara nyingi mtoto wa kwanza huwa sio wa baba muoaji.
 
We ndiyo boya coz unavuliwa chup unaingiziwa mpin halaf ksh Unarud tena

Hapana.

Just because you are accustomed to degrading yourself and some poor women, don't assume all women are loose and cheap.

Not all women are looking to make a quick buck by being bent over by some hooligans.
 
Hili sio kweli, kuna daktari mmoja aliwah kunambia mara nyingi mtoto wa kwanza huwa sio wa baba muoaji.
So just bcoz the Dr said then its the truth? How abt yote yanawezekana? Inategemea zaidi na factors kadhaa. Wengine wa pili na kuendelea na wengine wa kwanza na wengine watoto wote. Hence i came with OMOC formula.
Hapana.

Just because you are accustomed to degrading yourself and some poor women, don't assume all women are loose and cheap.

Not all women are looking to make a quick buck by being bent over by some hooligans.
 
Hii ni ishara tosha kabisa kuwa Watanzania tunapenda sana "uzinzi" na "uasherati". Kuna watu watawalaumu wanawake, lakini makosa pia yanaenda kwa wanaume kwa sababu hizo mimba zisizo halali hao wanawake wanapewa na wanaume. Jamii hii yote imechafuka kabisa.
kwahiyo hakuna wa kulaumiwa
 
Wiki ijayo naibukia Muhimbili aisee,kama mbwai naiwe mbwai siwezi kuumia na ada tena kwenye awamu nzito kama hii
 
Back
Top Bottom