Huu ni mkosi au ndo bahati yenyewe.....

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,846
2,936
Wapo watu wakitokewa na jambo wasilolipenda basi huona ni mkosi pasipo kujua labda ingekuwa kama wanavyotaka wangepata balaa kubwa. Ni katika muktadha huo nami nipo njia panda, kila ninapokuwa na mtu ninayemheshimu ndo hapo ninapokutana na mwanamke mrembo, mfano ninapokuwa nimeongozana na mpenzi wangu au baba yangu au mama yangu na hata labda bosi wangu au hata bibi na babu, hapo ndo ninapokutana na mwanamke mrembo, hapo nakuwa hata siwezi kuchomoka kumfatilia mrembo yule, lakini nikiwa mwenyewe nitatembea siku nzima wala sikutani ni mwanamke wa kunivutia. Huu ni mkosi au bahati??????????
 
We kumbe tatizo lako unachanganya bahati na mkosi humohumo. Unatakiwa ujifunze kuzichanganua. Jaribu kutafuta mbinu za kuweza kumPM hapohapo unapokutana nae bila upande wa pili kujua
 
HUNIJUI unakuta kuchomoka ni kazi, siku moja nilijaribu kujizungusha niliporudi sikumkuta yule mrembo, nikazunguka sana pale, unakuta ndo labda anaenda kupanda daladala, ukimwachia dk 2 kshapotea.
 
Last edited by a moderator:
Ungetuambia umli wako,umeoa?unampenzi? Unajitegemea?...kama haujaoa na hauna mpenzi na unazaidi ya miaka 18 hao watu wanakuzuia nini?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wapo watu wakitokewa na jambo wasilolipenda basi huona ni mkosi pasipo kujua labda ingekuwa kama wanavyotaka wangepata balaa kubwa. Ni katika muktadha huo nami nipo njia panda, kila ninapokuwa na mtu ninayemheshimu ndo hapo ninapokutana na mwanamke mrembo, mfano ninapokuwa nimeongozana na mpenzi wangu au baba yangu au mama yangu na hata labda bosi wangu au hata bibi na babu, hapo ndo ninapokutana na mwanamke mrembo, hapo nakuwa hata siwezi kuchomoka kumfatilia mrembo yule, lakini nikiwa mwenyewe nitatembea siku nzima wala sikutani ni mwanamke wa kunivutia. Huu ni mkosi au bahati??????????

Nina mashaka na umri wako... maana naona tamaa ya live inakutafuna! Uko na mpenzi wako (kwa mujibu wa hapo kwenye red) au hao wengine bado macho yanakutoka kutaka kumfuatilia eti mrembo!!!!! Jifunze kumuona mrembo huyo mpenzi wako.
 
Ungetuambia umli wako,umeoa?unampenzi? Unajitegemea?...kama haujaoa na hauna mpenzi na unazaidi ya miaka 18 hao watu wanakuzuia nini?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Baraka Roman, wewe unaweza kutongoza mbele ya mama yako?
 
Last edited by a moderator:
Nina mashaka na umri wako... maana naona tamaa ya live inakutafuna! Uko na mpenzi wako (kwa mujibu wa hapo kwenye red) au hao wengine bado macho yanakutoka kutaka kumfuatilia eti mrembo!!!!! Jifunze kumuona mrembo huyo mpenzi wako.
JosephMasaki, ni tamaa tu mkuu, wanaume haturidhiki hata upewe nini lazima utataka kuonja nje tu.
 
Last edited by a moderator:
wapo watu wakitokewa na jambo wasilolipenda basi huona ni mkosi pasipo kujua labda ingekuwa kama wanavyotaka wangepata balaa kubwa. Ni katika muktadha huo nami nipo njia panda, kila ninapokuwa na mtu ninayemheshimu ndo hapo ninapokutana na mwanamke mrembo, mfano ninapokuwa nimeongozana na mpenzi wangu au baba yangu au mama yangu na hata labda bosi wangu au hata bibi na babu, hapo ndo ninapokutana na mwanamke mrembo, hapo nakuwa hata siwezi kuchomoka kumfatilia mrembo yule, lakini nikiwa mwenyewe nitatembea siku nzima wala sikutani ni mwanamke wa kunivutia. Huu ni mkosi au bahati??????????

unataka uwe na wapenzi wangapi?
 
yani unampenzi alafu bado unaona warembo wengine nje.... bado kuona haitoshi unataka kutongoza wewe acha tabaa ya fisi utakuja kuangukia pua mkuu........... me naona ni bahati nzuri sana ...
 
unataka uwe na wapenzi wangapi?
Double K, si unajua process ya selection lazima uwe na sample space ya kutosha, ukiwa na mmoja haitoshi kujua kama kweli upo kwenye njia sahihi, kwani wewe ukienda kununua nguo unaishia kuangalia kwenye duka moja?
 
Last edited by a moderator:
yani unampenzi alafu bado unaona warembo wengine nje.... bado kuona haitoshi unataka kutongoza wewe acha tabaa ya fisi utakuja kuangukia pua mkuu........... me naona ni bahati nzuri sana ...
miss chagga, si unajua process ya selection lazima uwe na sample space ya kutosha, ukiwa na mmoja haitoshi kujua kama kweli upo kwenye njia sahihi, kwani wewe ukienda kununua nguo unaishia kuangalia kwenye duka moja?
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom