Huu ni mchuano baina ya Kanda ya Ziwa na Kaskazini si vinginevyo

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Watu wanakuja na hoja za ukabila la hasha! Hapa ni Kanda ya Kaskazini dhidi ya Kanda ya Ziwa.

Kanda ya Kaskazini ndio wanamlaumu Rais Magufuli kuwa ana upendeleo wa Kanda ya Ziwa alikozaliwa. Hakuna mtu wa Kusini, Kati au Magharibi anayelaumu, ni Kaskazini tu.

Awamu ya Rais Mstaafu Kikwete ni udini ulipamba moto kwa Magufuli ukabila na ukanda.

Ila hii ya Rais Magufuli haina madhara kwa sababu kanda hizi, kuliko ile ya Rais Mstaafu Kikwete ndio ilikuwa mbaya, makanisa yakachomwa moto na nani amechinja ng'ombe.

Ila kuna viongozi watasababisha yale ya Katoro yaanze kutokea. RC Mnyeti anachagiza neno ukabila, Kanda ya Kaskazini na ziwa vishike kasi.

Nimkumbushe Mnyeti kuwa Moja ya hotuba ya Nyerere anasema "anashangaa mtu anasimama anasema ukabila, ukabila, ukabila, ukabila umebaki kwa ajili ya kufanya matambiko"

Kwa hivyo vikundi vya makabila kwenye mkoa wako ni kwa ajili ya matambiko si vinginevyo.

Huu mchezo hauhitaji Kanda ya Kati, Kusini, Nyanda za juu, Mashariki na Magharibi.
 
Nini hoja ya uzi wako mkuu kama sijakuekewa hivi?
 
Sawa tuacheni tupambane lakin niwaambie hata wafanyeje hawaezi kutushinda hao washamba.
Sema tu kuna kuwaandama Wachaga kama wachaga lakin kama kikanda watu wa Maziwa baado sana.
Kulinganisha na Northen Arc (Klm, Tanga, Chuga & Manyara)
Thibitisha mkuu
 
Back
Top Bottom