Huu ni mchuano baina ya Kanda ya Ziwa na Kaskazini si vinginevyo

Heron

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
1,705
Points
2,000

Heron

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
1,705 2,000
This is extension of stupidity,

Mambo ya ukabila kwa kuangalia sijui nafasi za kiuchumi ama za kiuongozi ni ushamba wa hali ya juu!

Mimi huwa nikitaka ku refer ukabila naangalia yananihusu nini mie maendeleo ya ukanda fulani nitokapo alihali mimi ni CHOKA MBAYA? SINA PESA WALA NAFASI YOYOTE HUU SIO USHAMBA?

tufanyeni kazi ukabila haupo siku hizi na mie hata huwa nawashangaa watu unakuta jitu kubwa na mvi ati linasema sisi sijui ni matajiri wakati kila siku shati ni moja tu lishachora hadi ramani ya dunia!
Kweli ushamba sana.
Fanyeni kazi.
Ukabila unatusaidia nini huku serkalini mkijazana na kuwatoa wengine.
Kweli Washamba
 

Manelezu

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Messages
1,467
Points
2,000

Manelezu

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2015
1,467 2,000
Kaskazini hamna kitu kabisa labda Kilimanjaro kwa baadhi ya maeneo hasa ukiondoa upupu wa Mwanga na Same

Arusha hakuna Cha ajabu hasa ukimaliza Arusha mjini na hapa Meru DC kwingine n choka mbaya kabisa

Manyara n Hapo babati tu huko kwingine upupu mtupu

Tanga sitaki hata kugusia n ufyolo kabisa
Hahahahaha, kwamba "ufyolo" kabisa
 

Forum statistics

Threads 1,390,278
Members 528,139
Posts 34,048,033
Top