kuti kavu
Member
- Feb 25, 2009
- 68
- 21
...Najua naweza kuonekana wa ajabu, lakini nimeguswa sana na kitendo cha wahusika na Miss Tanzania kuendelea na Onesho lao ilhali Taifa letu liko katika maombolezo ya vifo vya mamia ya waTanzania wenzetu.
Najua kukwazika kwangu kunaweza kusibadili lolote kuhusiana na utaratibu huu mpya ktk kizazi hiki lakini nina amini tumefikia mahali sasa TUNAWEKA MBELE FEDHA NA STAREHE kuliko UTu na Utaifa wetu. Na kama hali ikiendelea hivi basi halitakuwa jambo la ajabu watoto wetu watakapokuwa wanaziacha maiti zetu vyumbani ili kwanza wakashiriki matamasha ya starehe na kuja kutuzika pindi ratiba zao za starehe zitakapomalizika!