Huu ndo uzalendo wa Tanzania ya leo?

kuti kavu

Member
Feb 25, 2009
68
21
...Najua naweza kuonekana wa ajabu, lakini nimeguswa sana na kitendo cha wahusika na Miss Tanzania kuendelea na Onesho lao ilhali Taifa letu liko katika maombolezo ya vifo vya mamia ya waTanzania wenzetu.

Najua kukwazika kwangu kunaweza kusibadili lolote kuhusiana na utaratibu huu mpya ktk kizazi hiki lakini nina amini tumefikia mahali sasa TUNAWEKA MBELE FEDHA NA STAREHE kuliko UTu na Utaifa wetu. Na kama hali ikiendelea hivi basi halitakuwa jambo la ajabu watoto wetu watakapokuwa wanaziacha maiti zetu vyumbani ili kwanza wakashiriki matamasha ya starehe na kuja kutuzika pindi ratiba zao za starehe zitakapomalizika!

Attachments

• mimi ndo naona aibu.jpg
mimi ndo naona aibu.jpg
83.1 KB · Views: 374
Wazanzibari tunahamasishana kutotumia mtandao wa vodacom,,katika msiba huu tumejua nani mwenzetu nani sio mwenzetu,tukiacha masuala ya kisiasa,sasa hii tuko katika msiba mkubwa sana.

...Najua naweza kuonekana wa ajabu, lakini nimeguswa sana na kitendo cha wahusika na Miss Tanzania kuendelea na Onesho lao ilhali Taifa letu liko katika maombolezo ya vifo vya mamia ya waTanzania wenzetu.

Najua kukwazika kwangu kunaweza kusibadili lolote kuhusiana na utaratibu huu mpya ktk kizazi hiki lakini nina amini tumefikia mahali sasa TUNAWEKA MBELE FEDHA NA STAREHE kuliko UTu na Utaifa wetu. Na kama hali ikiendelea hivi basi halitakuwa jambo la ajabu watoto wetu watakapokuwa wanaziacha maiti zetu vyumbani ili kwanza wakashiriki matamasha ya starehe na kuja kutuzika pindi ratiba zao za starehe zitakapomalizika!

hafu yule dada mtangazaji nilikuwa namsikia akiuliza "are you guys having a great time, aren't you?"

wote wanajibu "Yeeeeeeeeeeeeeeeees!!!"

wabongo kwa starehe bana siwaezi.

(Lakini pia naomba muongozo, kwa nini mtu wa Bagamoyo alisema maombolezo yaanze leo terehe 11/09? au naye alikuwa na mgawo wake maana jamaa yetu kwa vitu vidogovidogo simuezi. au ndo kumechisha na kumbukumbu za WTC ili akapokelewe kwa huruma Washington DC?)

Wazanzibari tunahamasishana kutotumia mtandao wa vodacom,,katika msiba huu tumejua nani mwenzetu nani sio mwenzetu,tukiacha masuala ya kisiasa,sasa hii tuko katika msiba mkubwa sana.
hivi tatizo ni voda au lundenga au wizara inayoshughulikia utamaduni?msije mkawa mnaiadhibu voda wakati wao sio wahusika wakuu ni wadhamini tu

miaka 50 ya uhuru wa mtanzania !!!!!ndio maendeleo ya kujivunia haya.
Tarehe gani hio tanzania iliopata uhuru ? Uhuru wa bandia ? Ndio wameona ndio nafasi sasa hivi kuusherekea kwa vile wazanzibari tuko kimya na msiba,sisi tulikuwa tunahoji huo uhuru wa tanzania ulipatikana lini ? Tanzania ina history ipi ya uhuru ? Au Tanganyika ?

sasa mkuuu utatokaje huko uliko(UK) kuja kuzika?kuna thread inasema JKNIA imefungwa kwa mda.

Nimeshangazwa mno na tukio hili la ajabu .Hivi ni kweli wale wadada nimeona kwenye picha kama wangalikuwa wamefiwa katika hili janga la meli kuzama wangaliweza kushiriki ?Why having a ribbon in their arms then wana cheza miziki na kujirusha ? Je ilikuwa ngumu kuahirisha jambo hili hadi baada ya msiba huu ?

Naunga mkono hoja kuigomea Voda kabisa na kuachana nao hawa kama ikiwezekana basi itkuwa imelet fundisho .Nangojea tamko la serikali kuhusu hili .

Na swali la kujiuliza ni whether hayo mashindano yana tija yoyote kwa utamaduni wa Mtanzania.

Mbali na visichana kwenda kuonyesha mapaja yao nusu uchi mbele ya wame za watu KATIKA KIPINDI CHA MSIBA WA HUU MZITO KITA, nako pia tusisahau CCM na Mhe Mkapa nao hawakuona umuhimu wowote ule katika hili.

...Najua naweza kuonekana wa ajabu, lakini nimeguswa sana na kitendo cha wahusika na Miss Tanzania kuendelea na Onesho lao ilhali Taifa letu liko katika maombolezo ya vifo vya mamia ya waTanzania wenzetu.

Najua kukwazika kwangu kunaweza kusibadili lolote kuhusiana na utaratibu huu mpya ktk kizazi hiki lakini nina amini tumefikia mahali sasa TUNAWEKA MBELE FEDHA NA STAREHE kuliko UTu na Utaifa wetu. Na kama hali ikiendelea hivi basi halitakuwa jambo la ajabu watoto wetu watakapokuwa wanaziacha maiti zetu vyumbani ili kwanza wakashiriki matamasha ya starehe na kuja kutuzika pindi ratiba zao za starehe zitakapomalizika!

mbona function nyingi tu ziliendelea mmekazania mamiss tu,watu walifunga ndoa kila kona,CCM walizinddua kampeni

BASATA nao hawakutafakari na kuchukua hatua. Wao si ndiyo wanasimamia sanaa inaonekana hawakuchukua hatua na siyo ajabu kwamba walikuwepo miongoni mwa Majaji.

Wazanzibari tunahamasishana kutotumia mtandao wa vodacom,,katika msiba huu tumejua nani mwenzetu nani sio mwenzetu,tukiacha masuala ya kisiasa,sasa hii tuko katika msiba mkubwa sana.

Kweli kabisa mkuu nakuunga mkono asilimia mia (100%)

hivi tatizo ni voda au lundenga au wizara inayoshughulikia utamaduni?msije mkawa mnaiadhibu voda wakati wao sio wahusika wakuu ni wadhamini tu

Ukidhamini kitu kwani ukiona kuna mwelekea unaenda agaist jamii hamwezi shauriana? Kwangu wote wanamakosa

Nimeshangazwa mno na tukio hili la ajabu .Hivi ni kweli wale wadada nimeona kwenye picha kama wangalikuwa wamefiwa katika hili janga la meli kuzama wangaliweza kushiriki ?Why having a ribbon in their arms then wana cheza miziki na kujirusha ? Je ilikuwa ngumu kuahirisha jambo hili hadi baada ya msiba huu ?

Naunga mkono hoja kuigomea Voda kabisa na kuachana nao hawa kama ikiwezekana basi itkuwa imelet fundisho .Nangojea tamko la serikali kuhusu hili .

Labda sio serikali yetu mkuu tamko ni ndoto

Na swali la kujiuliza ni whether hayo mashindano yana tija yoyote kwa utamaduni wa Mtanzania.

hi kweli kuna tofauti gani na bigbrother kwani wote hawaendi na utamaduni wetu na serikali waliona la bigbrother tu?

Back
Top Bottom