hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
Huo ni msemo wa masikini tu Kujifariji ... Baada ya kuona kwamba hana Mali ..Hivyo basi sehemu pekee Ambayo inakuwa inatagemea faraja yake ni kwa watoto wake na Tajiri mahali pekee anapo tegemea kupata faraja ni kwenye Mali zake haswaa pale anapo kosa uwezo wa kuwa na watoto
Huu usemi kuwa, masikini na watoto wake, tajiri na mali yake una maana gani? Msaada taf.