Umasikini ndio Ugonjwa Mbaya kuliko yote Duniani

Labda mleta mada na wanaoshabikia neno "masikini" au "umasikini" wanashindwa kuelewa kuwa hakuna binaadam ambae kwa vipindi fulani vya maisha yake anakuwa ni masikini wa kuonewa huruma na kusaidiwa hata awe na utajiri wa kupindukia.

Tafakari.

Mtazamo wa kudhani kuwa umasikini ni ugonjwa ni mtazamo duni na ni mtazamo wa watu wasio na fikra hata ya kuvalia nguo.

Jifikirie ulivyokuwa ukichambishwa ulipojinyea ulikuwa tajiri au masikini?

Jee, unafikiri hali kama hiyo haiwezi kukuta tuna hata ukiwa na Mali?

Muwe mnafikiri kabla hamjaleta utumbo. Umasikini ni sifa ya kuhurumiwa na si kuwa masikini hawezi kuwa na utajiri au akili zilizo bora kabisa.

Mtazame huyu alikuwa ni mwana sayansi wa kiwango cha juu duniani lakini kwa hali yake alipoishia si alikuwa masikini tu huyu wa kuhurumiwa?...

Mtazamo wa kudhani kuwa umasikini ni ugonjwa ni mtazamo duni na ni mtazamo wa watu Asia na fikra hata ya kuvalia nguo.

Mtazamo huyu alikuwa ni mwana sayansi wa kiwango cha juu duniani lakini kwa Hali yake si masikini tu huyu wa kuhurumiwa?...

Acha kubadilisha maana ya neno masikini ili watu wakuonee huruma pamoja na wafuasi wenzako.

Masikini huwa haurumiwi bali hudharauliwa.
 
Ukishakuwa kwenye zile siku zako za kunyonywa akili na damu na majini huwa huwi sawa kabisa... Na inakusababishia uwe na kisirani. The hungry person is angry always. Wewe pambana na hali yako elimu ya kuelewa kuwa i have used figurative language huna. Endelea kuyanywesha damu majini hasira njoo utolee kwangu.😁😁😁

Labda mleta mada na wanaoshabikia neno "masikini" au "umasikini" wanashindwa kuelewa kuwa hakuna binaadam ambae kwa vipindi fulani vya maisha yake anakuwa ni masikini wa kuonewa huruma na kusaidiwa hata awe na utajiri wa kupindukia.

Tafakari.

Mtazamo wa kudhani kuwa umasikini ni ugonjwa ni mtazamo duni na ni mtazamo wa watu Asia na fikra hata ya kuvalia nguo.

Jifikirie ulivyokuwa ukichambishwa ulipojinyea ulikuwa tajiri au masikini?

Jee, unafikiri hali kama hiyo haiwezi kukuta tuna hata ukiwa na Mali?

Muwe mnafikiri kabla hamjaleta utumbo. Umasikini ni sifa ya kuhurumiwa na si kuwa masikini hawezi kuwa na utajiri au akili zilizo bora kabisa.

Mtazamo huyu alikuwa ni mwana sayansi wa kiwango cha juu duniani lakini kwa Hali yake si masikini tu huyu wa kuhurumiwa?...
 
Maskini WA FIKRA NA KIPATO hujitoa mhanga. TAJIRI HAJITOI MHANGA. Badala unyamaze unakuja kuanika Umaamuma wako.

Labda mleta mada na wanaoshabikia neno "masikini" au "umasikini" wanashindwa kuelewa kuwa hakuna binaadam ambae kwa vipindi fulani vya maisha yake anakuwa ni masikini wa kuonewa huruma na kusaidiwa hata awe na utajiri wa kupindukia.

Tafakari.

Mtazamo wa kudhani kuwa umasikini ni ugonjwa ni mtazamo duni na ni mtazamo wa watu wasio na fikra hata ya kuvalia nguo.

Jifikirie ulivyokuwa ukichambishwa ulipojinyea ulikuwa tajiri au masikini?

Jee, unafikiri hali kama hiyo haiwezi kukuta tuna hata ukiwa na Mali?

Muwe mnafikiri kabla hamjaleta utumbo. Umasikini ni sifa ya kuhurumiwa na si kuwa masikini hawezi kuwa na utajiri au akili zilizo bora kabisa.

Mtazame huyu alikuwa ni mwana sayansi wa kiwango cha juu duniani lakini kwa hali yake alipoishia si alikuwa masikini tu huyu wa kuhurumiwa?...

huwezi amini ila kaa tu fikiria kwa makini. Ugonjwa mbaya kuliko wote ni Umaskini. Huu ni mbaya sana. huu ndo chanzo cha mambo mengi sana ambayo yamekuwa kikwazo katika maisha yetu. fikiria tu ukiwa maskini.
1. maskini mara nyingi hana haki... Mungu tu ndo humtolea haki maskini lakini kwa binadamu wenyewe kwa wenyewe maskini anakosa haki nyingi sana za kimsingi. ndo maana hata maskini akifa si issue kubwa. nenda amana, nenda muhimbili na hospital nyingine. maskini wanakufa kwa malaria,kujifungua,typhoid,kuhara n.k wanakufa daily na hakuna anayeshtuka. alipokufa mtoto wa Abbas Tarimba hadi Rais alienda mpa pole. unadhani ni kwa nini?

2. kwenye vikao michango ya maskini huwa inatupwa kapuni. watu wanataka mchango wa pesa wewe unachangia mawazo. hayo mawazo si yangekusaidia mwenyewe? maskini huwa wana maneno mengi sana ,mengi sana kutafuta justification ya anachotaka kiwe. tajiri huwa hawaongei sana. wanasema tu hili liwe hivi. watu wanapiga makofi.

3. ukiwa maskini ukataka kuchangia kwenye kikao.wanaweza kukuzuia na kusema unataka kuleta fujo. hawaamini kma utakuwa na mawazo jengefu. unayatoa wapi sasa? wewe mwenyewe umeshashindwa kujijenga kiuchumi yatajengaje wengine? kwa hiyo unanyoosha mkono wanakwambia " aaahhh .... sasa usitake kuleta fujo.. acha kwanza wengine wachangie"

4. ukiwa maskini huwezi chagua. unajua dhana ya kuchagua inakuwepo kama kuna vitu zaidi ya viwili. but kama kuna kitu kimoja huwezi chagua. so poor people cant choose. wanatumia wanachopata. hata marafiki huwezi chagua. utachaguaje wakati huna kichagulio?

5. ukiwa maskini hata aina ya mademu unaotaka unakuwa huna.... ukiwa na aina utaipataje?mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake na kile kilichopo kwenye himaya yake. huwezi chagua demu sababu huna kichagulio. mkono mtupu haulambwi. maskini hutumia muda mwingi sana kufuatilia demu... na maneno mengi sana. kuna jamaa mpaka hufikia hatua ya kulia... ili aonewe huruma apewe K. umaskini ni tatizo kubwa sana.sisi wenye vijicent tunasema "xxx nadhani unafaa kugegedwa na mimi, unasemaje?" :D:D:D:D:D:D:D:D akisita sita unaendelea kwa mwingine.huna muda wa kubembeleza.

tajiri huwa haongei sana kwa demu. siyo mwanamke. demu.siyo msichana.demu. haongei sana. anampiga na wekundu kadhaa, kabla demu hajasikilizia utamu ukaisha anapigwa na kitu kingine then anakuwa laini analiwa. ndani ya masaa 24 mpaka 72 demu analiwa bila shida kabisa.

6. sifa kubwa ya maskini ni unafiki. maskini anakuwa mnafiki sana. anacheka cheka kila wakati na kwa kila jambo linalosemwa na tajiri. maskini hawezi kosoa.. hata akiambiwa we fala anacheka sana na kumsifia tajiri kuwa yupo social sana hadi anaweza watukana watu wengine. ila maskini hawezi mwambia tajiri yake fala mwenyewe. yeye anaona tajiri mtu poa kwa kupokea matusi toka kwa tajiri bila kurudisha. umaskini ni kupoteza self esteem. ni kunyanyasika. ndo maana kuna maskini mpaka hushikwa makalio na wao huishia kucheka tu.

7. maskini hata sauti hana... akiongea Mengi au Bakhresa atasikika. ongea wewe Pangu Pakavu Tia Mchuzi. nobody knows unasema nini and nobody cares. why should they? huna mchango wowote katika jamii.

8. maskini anakuwa muoga sana. muoga hata kwa kivuli chake mwenyewe... ni mtu mwenye waswasi wakati wote. ona tu akisimamishwa na polisi, akikamatwa na polisi au akiwa na tatizo flani. maskini anakuwa muoga anatetemeka sana. anakosa confidence kabisa.

9. maskini anakufa mara nyingi zaidi kuliko tajiri. mapambano anayokutana nayo maskini ni kama kila wakati anakufa kwa kukoswa koswa na vibaka, magonjwa,mawazo,njaa, kukosa kujiamini n.k tajiri mara nyingi anaelewa moja ya silaha kubwa aliyo nayo ni pesa. ndo maana akikutana na vibaka wakataka kumpora simu anawapa tu anajua kesho atanunua nyingine. maskini anataka afight nao.. sababu anajua simu kaipata kwa mbinde sana haiwezekani waje watu wachukue kirahisi tu..mwishowe wanamchoma na bisibisi anakufa anaoza. wakati tajiri hafi kirahisi maana mpaka leo hi kuna watu wanamzungumzia mengi reginald.

10. sifa nyingine ya maskini ni Ulalamishi. maskini ni walalamishi sana. watalaumu kila kitu. ukipita na gari bahati mbaya ukamwagia maji atakulaani sana... ukitimua vumbi kidogo atalaani sana. usipompa lift atalaani sana. ukimpa akishuka atalalamika kuwa umempa lift kumringishia gari. ukivaa vizuri wewe atalalamika yeye.... ukila vizuri wewe atalalamika yeye. maskini anamlaumu kila mtu kwa umaskini wake. anailaumu serikali, anamalumu mbunge,anamlaumu mjumbe wa nyumba kumi ,anamlaumu jirani... anamlaumu Mungu, analaumu nchi, analaumu hali ya hewa, analaumu wadudu,anawalaumu wanyama, analaumu ndege... analaumu kila kitu. hii humsaidia kushusha mzigo moyoni mwake.

tajiri huwezi kuta analalamika lalamika kipuuzi. kuna siku nlikuwa natembea bahati mbaya gari ikakanyaga maji yakanirukia nguoni.sikuona shida...zilikuwa siku za mvua...nilielewa ni jambo la kawaida kwa magari wakati flani kufanya hivyo na dereva asiwe amekusudia.jamaa mmoja pembeni akasema " wenye magari wa****i sana hata hawajali watembeao kwa miguu" nlimwambia mbona sasa na mimi umenitukana? akaniuliza kwa nini?nikamwambia hata mimi nina magari na si ajabu siku nikatembea nikakanyaga maji bahati mbaya yakamrukia mtu"

utagundua maskini anakuwa na hasira. tena hasira kali sana,stress au msongo wa mawazo. ole wako umkanyage bahati mbaya.. atakulaumu sana... atatukana hasira zake zoote ziishie kwake. ukiandika uzi wako atakushambulia bila sababu za maana. yaani kutokuwa kwake yeye na pesa atajaribu kuhusisha na uzi wako hata kama unazungumzia suala la mapenzi au mpira. atatokwa na povu sana na utashangaa haya yanatoka wapi?

anyway kuna matatizo mengi yanatokana na umaskini. hebu tujaribu kuungana kuupiga vita umaskini. mimi si maskini ila nimewah kipindi flani kuishi maisha ya kimaskini. niliteseka sana moyoni.niligundua mambo mengi sana miaka hiyo.nikazidisha chuki dhidi ya umaskini. maskini hata marafiki zako sometime wanakukwepa, wanakukimbia. wanakuona huna akili. unajua siku zote mwenye pesa ndo mwenye akili?

ukiwa maskini kila mtu anakuja kukupa ushauri. na wewe huwezi toa ushauri ukaonekana wa maana.si ungeutumia mwenyewe? so wewe unakuwa na kazi ya kushauriwa kila wakati.unakuwa na kazi ya kupokea tu. TUPIGANE KWANZA VITA NA UMASKINI. YALE MENGINE YATAKUWA SOLVED TU. AMA SIVYO VIJANA WENGI MTAISHIA KULA TU KWA MACHO NA KUWA NA MSONGO WA MAWAZO HATA HUMU JF.

NYONGEZA.
Ukiwa maskini halafu mkawa kwenye jumuiya kisha simu ya mtu ikawa haionekani... unaanza kupoteza amani.. unahisi jamaa wanakuhisi wewe ndo umechukua. hivyo unalazimika kuongoza katika kuitafuta mpaka ipatikane.ama sivyo utaacha impression wewe ndo umeichukua.

ukiwa maskini hata uikitokea mmekaa watu wengi halafu mmoja akatoa gesi chafu.. watu wanakutizama wewe wanaamini wewe ndo umeharibu hali ya hewa.eneo hilo. yaani kila kitu kibaya kinahusishwa na maskini na kila kizuri kinahusishwa na utajiri.
Asilimia kubwa ya members wa JF wanaangukia kwenye namba 10.
Kwa hiyo tunaweza kuhitimisha kwamba wanachama wengi wa JF ni MASIKINI WA KUTUPA.
 
Ukishakuwa kwenye zile siku zako za kunyonywa akili na majini huwa huwi sawa kabisa... Na inakusababishia uwe na kisirani. The hungry person is angry always. Wewe pambana na hali yako elimu ya kuelewa kuwa i have used figurative language huna. Endelea kuyanywesha damu majini hasira njoo utolee kwangu.😁😁😁
Hakuna umasikini "figurative". Umasikini ni haki ya kuhurumiwa kwa yeyote awaye.

Hujawahi kuwa na mgonjwa tajiri na mwenye akili lakini unafikia mahala unasema japo kimoyo moyo " Mungu amsaidie, masikini anapata tabu".
 
Back
Top Bottom