Umasikini ndio Ugonjwa Mbaya kuliko yote Duniani

huwezi amini ila kaa tu fikiria kwa makini. Ugonjwa mbaya kuliko wote ni Umaskini. Huu ni mbaya sana. huu ndo chanzo cha mambo mengi sana ambayo yamekuwa kikwazo katika maisha yetu. fikiria tu ukiwa maskini.
1. maskini mara nyingi hana haki... Mungu tu ndo humtolea haki maskini lakini kwa binadamu wenyewe kwa wenyewe maskini anakosa haki nyingi sana za kimsingi. ndo maana hata maskini akifa si issue kubwa. nenda amana, nenda muhimbili na hospital nyingine. maskini wanakufa kwa malaria,kujifungua,typhoid,kuhara n.k wanakufa daily na hakuna anayeshtuka. alipokufa mtoto wa Abbas Tarimba hadi Rais alienda mpa pole. unadhani ni kwa nini?

2. kwenye vikao michango ya maskini huwa inatupwa kapuni. watu wanataka mchango wa pesa wewe unachangia mawazo. hayo mawazo si yangekusaidia mwenyewe? maskini huwa wana maneno mengi sana ,mengi sana kutafuta justification ya anachotaka kiwe. tajiri huwa hawaongei sana. wanasema tu hili liwe hivi. watu wanapiga makofi.

3. ukiwa maskini ukataka kuchangia kwenye kikao.wanaweza kukuzuia na kusema unataka kuleta fujo. hawaamini kma utakuwa na mawazo jengefu. unayatoa wapi sasa? wewe mwenyewe umeshashindwa kujijenga kiuchumi yatajengaje wengine? kwa hiyo unanyoosha mkono wanakwambia " aaahhh .... sasa usitake kuleta fujo.. acha kwanza wengine wachangie"

4. ukiwa maskini huwezi chagua. unajua dhana ya kuchagua inakuwepo kama kuna vitu zaidi ya viwili. but kama kuna kitu kimoja huwezi chagua. so poor people cant choose. wanatumia wanachopata. hata marafiki huwezi chagua. utachaguaje wakati huna kichagulio?

5. ukiwa maskini hata aina ya mademu unaotaka unakuwa huna.... ukiwa na aina utaipataje?mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake na kile kilichopo kwenye himaya yake. huwezi chagua demu sababu huna kichagulio. mkono mtupu haulambwi. maskini hutumia muda mwingi sana kufuatilia demu... na maneno mengi sana. kuna jamaa mpaka hufikia hatua ya kulia... ili aonewe huruma apewe K. umaskini ni tatizo kubwa sana.sisi wenye vijicent tunasema "xxx nadhani unafaa kugegedwa na mimi, unasemaje?" :D:D:D:D:D:D:D:D akisita sita unaendelea kwa mwingine.huna muda wa kubembeleza.

tajiri huwa haongei sana kwa demu. siyo mwanamke. demu.siyo msichana.demu. haongei sana. anampiga na wekundu kadhaa, kabla demu hajasikilizia utamu ukaisha anapigwa na kitu kingine then anakuwa laini analiwa. ndani ya masaa 24 mpaka 72 demu analiwa bila shida kabisa.

6. sifa kubwa ya maskini ni unafiki. maskini anakuwa mnafiki sana. anacheka cheka kila wakati na kwa kila jambo linalosemwa na tajiri. maskini hawezi kosoa.. hata akiambiwa we fala anacheka sana na kumsifia tajiri kuwa yupo social sana hadi anaweza watukana watu wengine. ila maskini hawezi mwambia tajiri yake fala mwenyewe. yeye anaona tajiri mtu poa kwa kupokea matusi toka kwa tajiri bila kurudisha. umaskini ni kupoteza self esteem. ni kunyanyasika. ndo maana kuna maskini mpaka hushikwa makalio na wao huishia kucheka tu.

7. maskini hata sauti hana... akiongea Mengi au Bakhresa atasikika. ongea wewe Pangu Pakavu Tia Mchuzi. nobody knows unasema nini and nobody cares. why should they? huna mchango wowote katika jamii.

8. maskini anakuwa muoga sana. muoga hata kwa kivuli chake mwenyewe... ni mtu mwenye waswasi wakati wote. ona tu akisimamishwa na polisi, akikamatwa na polisi au akiwa na tatizo flani. maskini anakuwa muoga anatetemeka sana. anakosa confidence kabisa.

9. maskini anakufa mara nyingi zaidi kuliko tajiri. mapambano anayokutana nayo maskini ni kama kila wakati anakufa kwa kukoswa koswa na vibaka, magonjwa,mawazo,njaa, kukosa kujiamini n.k tajiri mara nyingi anaelewa moja ya silaha kubwa aliyo nayo ni pesa. ndo maana akikutana na vibaka wakataka kumpora simu anawapa tu anajua kesho atanunua nyingine. maskini anataka afight nao.. sababu anajua simu kaipata kwa mbinde sana haiwezekani waje watu wachukue kirahisi tu..mwishowe wanamchoma na bisibisi anakufa anaoza. wakati tajiri hafi kirahisi maana mpaka leo hi kuna watu wanamzungumzia mengi reginald.

10. sifa nyingine ya maskini ni Ulalamishi. maskini ni walalamishi sana. watalaumu kila kitu. ukipita na gari bahati mbaya ukamwagia maji atakulaani sana... ukitimua vumbi kidogo atalaani sana. usipompa lift atalaani sana. ukimpa akishuka atalalamika kuwa umempa lift kumringishia gari. ukivaa vizuri wewe atalalamika yeye.... ukila vizuri wewe atalalamika yeye. maskini anamlaumu kila mtu kwa umaskini wake. anailaumu serikali, anamalumu mbunge,anamlaumu mjumbe wa nyumba kumi ,anamlaumu jirani... anamlaumu Mungu, analaumu nchi, analaumu hali ya hewa, analaumu wadudu,anawalaumu wanyama, analaumu ndege... analaumu kila kitu. hii humsaidia kushusha mzigo moyoni mwake.

tajiri huwezi kuta analalamika lalamika kipuuzi. kuna siku nlikuwa natembea bahati mbaya gari ikakanyaga maji yakanirukia nguoni.sikuona shida...zilikuwa siku za mvua...nilielewa ni jambo la kawaida kwa magari wakati flani kufanya hivyo na dereva asiwe amekusudia.jamaa mmoja pembeni akasema " wenye magari wa****i sana hata hawajali watembeao kwa miguu" nlimwambia mbona sasa na mimi umenitukana? akaniuliza kwa nini?nikamwambia hata mimi nina magari na si ajabu siku nikatembea nikakanyaga maji bahati mbaya yakamrukia mtu"

utagundua maskini anakuwa na hasira. tena hasira kali sana,stress au msongo wa mawazo. ole wako umkanyage bahati mbaya.. atakulaumu sana... atatukana hasira zake zoote ziishie kwake. ukiandika uzi wako atakushambulia bila sababu za maana. yaani kutokuwa kwake yeye na pesa atajaribu kuhusisha na uzi wako hata kama unazungumzia suala la mapenzi au mpira. atatokwa na povu sana na utashangaa haya yanatoka wapi?

anyway kuna matatizo mengi yanatokana na umaskini. hebu tujaribu kuungana kuupiga vita umaskini. mimi si maskini ila nimewah kipindi flani kuishi maisha ya kimaskini. niliteseka sana moyoni.niligundua mambo mengi sana miaka hiyo.nikazidisha chuki dhidi ya umaskini. maskini hata marafiki zako sometime wanakukwepa, wanakukimbia. wanakuona huna akili. unajua siku zote mwenye pesa ndo mwenye akili?

ukiwa maskini kila mtu anakuja kukupa ushauri. na wewe huwezi toa ushauri ukaonekana wa maana.si ungeutumia mwenyewe? so wewe unakuwa na kazi ya kushauriwa kila wakati.unakuwa na kazi ya kupokea tu. TUPIGANE KWANZA VITA NA UMASKINI. YALE MENGINE YATAKUWA SOLVED TU. AMA SIVYO VIJANA WENGI MTAISHIA KULA TU KWA MACHO NA KUWA NA MSONGO WA MAWAZO HATA HUMU JF.

NYONGEZA.
Ukiwa maskini halafu mkawa kwenye jumuiya kisha simu ya mtu ikawa haionekani... unaanza kupoteza amani.. unahisi jamaa wanakuhisi wewe ndo umechukua. hivyo unalazimika kuongoza katika kuitafuta mpaka ipatikane.ama sivyo utaacha impression wewe ndo umeichukua.

ukiwa maskini hata uikitokea mmekaa watu wengi halafu mmoja akatoa gesi chafu.. watu wanakutizama wewe wanaamini wewe ndo umeharibu hali ya hewa.eneo hilo. yaani kila kitu kibaya kinahusishwa na maskini na kila kizuri kinahusishwa na utajiri.
Tuache na umasikini wetu.

Umesahau sifa yetu nyingine...tunananii sana wake za matajiri.
 
Kuna kabila nyingine msiba ukitokea mabinti wote wanakwenda na waume zao kwenye msiba kijijini.

Aliyeolewa na tajiri atashusha gunia la mchele na debe la mafuta ya kupikia. Atavutiwa kiti akae.

Aliyeolewa na masikini atawapa mikono ya pole wazee, anatolewa jamvi . Hajakaa vizuri anaitwa akawapasulie kuni wakina mama jikoni.
Duuh...!
 
Tajiri na PESA zake

Masikini na WATOTO wake
 
Umesikini wa mtu huletwa na mtu mwenyewe kwa kuwa na umaskini/ufukara wa Akili.
Umasikini wa AKILI ndiyo huwapumbaza watu wakaacha kushughulika kutafuta mali na kumsuta Muumba/ Mungu kwa kusema " Mimi nimemkosea nini Mungu".
Sisi Waafrika ni mafukara/masikini wa Akili ndiyo maana maendeleo yetu yamedumaa.
Mzungu anaweza toka Ulaya akaja na Begi tu na kuanza kulima mboga mboga au kuotesha maua au kufuga ngurue au kufyatua matofali nk lakini baada ya muda akawa tajiri mkubwa.
Wahenga walisema " Mafanikio yanayoweza kupatikana ndani ya masaa 24, hutokea baada ya kazi ngumu ya miaka 15"
"Overnight success comes after 15 years"
Mswahili anataka akae kwenye kijiwe akipiga soga lakini anawaza kuwa kuna siku atakuwa tajiri.
Katika misahafu tunasoma kuwa kulikuwa na ndugu wawili nao ni Kaeni na Abel. Abel alifanikiwa sana na akawa anamtolea Mungu sadaka iliyobora. Kaeni alimwonea wivu Abel na baadaye akamuua. Mungu alimuuliza Kaeni, ndugu yako Abel yuko wapi? Kaeni alimjibu, kwani ulinipa kazi ya kumlinda?
Huyu Kaeni alipata laana toka kwa Mungu.
Ashakumu si matusi, inawezekana uzao wa MTU mweusi ni uzao wa Kaeni na uzao wa Abel ni watu weupe.
Uzao wetu, kila mtu inabidi amwinamie sana Mungu ili apate msamaha wa dhambi ya kurithi.
Kwa sababu ya laana hii, Waafrika weusi walio wengi, utajiri wao ni wa ushirikina kwa kufunga urafiki na shetani kwa kumtolea sadaka.
 
Na utajiri pia una kero zake,bora tu uwe mtu mwenye uwezo wastani.
Naaam alisema mfalme suleiman

Eh Mwenyezi Mungu usinipe utajiri ukanizidi nkauliza wewe ni nani
Na usinipe umaskini ukanizidi nikakutukana
Nipe tu mkate wa kunitosha....

Kuna hekima kubwa ktk kiasi
Kiasi ktk jambo lolote
 
Umaskini hata ukiwa unaishi Nyumba ya watu kumi..choo kikijaa utaambiwa we ndo umefanya chemba lijae

Ukilikuta sufuria la mboga jikoni limekaa vibaya,ukaamua kuliweka vizuri mtu akipita utaasikia ulikua unadokoa mboga.

Kuku wakichinjwa utakula miguu

Umaskini ugonjwa mbaya.unatesa sana.
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
Na utajiri pia una kero zake,bora tu uwe mtu mwenye uwezo wastani.

There is no Nobility in Poverty, I have been poor man, Rich man And I choose Rich Every Fucking Time ~Leonardo Di Caprio

Kwa kiswahili
Hakuna cha Kujivunia Kwenye Umasikini, nimeshakuwa Masikini, nimeshakuwa Tajiri ila Nachagua kuwa Tajiri Muda wote Mama£
 
Masikini anaongozwa na falsafa ya mzee fisi "ulafi" si ajabu kumkuta anabeba wali wa sherehe kwenye mifuko,au vinywaji kwenye machupa.
 
Mkuu umeongea kitu kikubwa mno. Umaskini ni mzigo mkubwa sana maana maisha yake ni mzigo tosha. Huwezi kujihudumia hata kidogo.
Mithali 22: 7
Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
The rich ruleth over the poor, and the borrower is servant to the lender.
 
Back
Top Bottom