Huu ndo mlo wa Majimaji Fc kabla ya kuivaa Yanga Leo inatia aibu

Maskini ya mungu,
Tatizo nini washakua Lulu watu wanaogopa nini kuinvest kwa hii timu mana kwa mwendo huu sijui hatma yake ni nini!
 
Namwonea sana huruma Rafiki yangu Jerry Tegete kwa hali aliyonayo katika hiyo Timu. Nina uhakika kabisa Jerry Tegeta anatamani hata Kulia hasa akikumbuka jinsi Watu wa Simba SC walivyokuwa wakihangaika huku na kule kutaka Kumsajili kutoka Yanga SC alipokuwa mwanzo na kuja Simba SC na akawa anakataa kwa kumuogopa Baba yake ambaye ni Yanga lia lia na Yeye ( Jerry ) akiwa ni mwana Simba SC kindakindaki na sasa maisha yamempiga huku akiwa hana mbele wala nyuma huku Yule Demu wake Mwandishi wa Habari wa Mwanaspoti na Mwananchi ( Jina Kapuni / Mafichoni ) nae akimtema / akimuacha.
 
Daah hawa Wangoni walistahili kufungwa kwakweli,
Kuna team VPL zina hali mbaya jaman, afu hapo hapo tunataka tuifanye Ligi yetu iwe bora? kwa misingi ipi?
 
Sasa Hapa umekusudia KuClarify Nini?
Kwahiyo Kama Tukio hili lilikuwa Mwaka 2017 ndiyo litageuka Kuwa la Kishujaa badala ya Kuwa la Kimateso?
Kwakuwa unafikiria kwa makalio basi sawaaaa..... Maana Mtoa mada kasema "Lunch ya wachezaji majimaji kabla y kunyukwa 4-1"... Akisadifu kwamba wamekula siku hiyo kabla ya mechi ila kwa kuwa ubongo wako umejaa funza hauoni kam amekosea....
 
UONGO NI DHAMBI NA MUNGU HAPENDI, SI KWELI KWAMBA HIYO ILIKUWA KABLA YA MECHI YA YANGA HIYO NI NI KAMBINI SONGEA, UNGEWEZA TU KUELEZA HALI YA TIMU YETU YA MAJIMAJI BILA KUPACHIKA UONGO AMBAO UNAKUPA HATIA BILA SABABU. KWENYE HIYO CLIP ANATAJWA TUMBA LUI SWEDI AMBAYE KWA SASA YUPO KENYA TOKA DIRISHA LA MWEZI WA KWANZA KUFUNGULIWA, MZUNGUKO WA PILI HAJACHEZA HATA MECHI MOJA YAANI KAOONDOKA NCHI TOKA MWEZI WA KWANZA. HAO WADADA WANAOONGEA WANATUSAIDIA KUPIKA KILA SIKU NA HAWAJAWAHI SAFIRI NA TIMU SASA SIJUI HUKO DAR ULIWAPELEKA WEWE KWA NJIA GANI. ALL IN ALL HAYO NDIO MAISHA HALISI YA TIMU ZISIZO NA WAFADHILI WA KUTOSHA.
 
Namwonea sana huruma Rafiki yangu Jerry Tegete kwa hali aliyonayo katika hiyo Timu. Nina uhakika kabisa Jerry Tegeta anatamani hata Kulia hasa akikumbuka jinsi Watu wa Simba SC walivyokuwa wakihangaika huku na kule kutaka Kumsajili kutoka Yanga SC alipokuwa mwanzo na kuja Simba SC na akawa anakataa kwa kumuogopa Baba yake ambaye ni Yanga lia lia na Yeye ( Jerry ) akiwa ni mwana Simba SC kindakindaki na sasa maisha yamempiga huku akiwa hana mbele wala nyuma huku Yule Demu wake Mwandishi wa Habari wa Mwanaspoti na Mwananchi ( Jina Kapuni / Mafichoni ) nae akimtema / akimuacha.
Huu ni unafiki,imezungumziwa hali ngumu ya maji maji wewe unaleta stori za mtu mmoja binafsi. Tabia ya kishenzi hii ya kuzungumza maisha binafsi ya watu
 
Viongoz wa Yanga walionekana hotel waliofikia majimaji! Wala wasilaumiwe Tanzania kila kitu ni rushwa! Madogo wapo vizuri! So wasilaumiwe
Kwani viongozi wa Yanga wamekatazwa kufika kwenye Hotel ya timu pinzani?

Ndio nyie mchezaji akibadilishana jezi na mchezaji pinzani mnamtimua alafu bado mnaamini mnajua soka
 
Back
Top Bottom