Huu ndo mfano wakuigwa kwa viongozi wetu

Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,071
1,211
Nilishangaa sn mara ya kwanza kujiunga na jf... Mtu anaona sehemu nafasi za kazi thn kwa moyo mkujufu anapost watu waweze kufanya application...! Mungu awazidishie na uwe mfano kwa viongozi wetu waone ni jinsi gn vijana wanamapenzi na nchi yao
 
Back
Top Bottom