Huu ndiyo uwezo wao katika Uongozi wa Nchi yangu

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
TOP 10 YA KAULI ZENYE CHANGAMOTO...
1. Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe - Mramba
2. Graduate msio na kazi kafugeni kuku biashara inalipa sana – Mahiza
3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - JK
4. Acheni wivu wa kike – Msekwa
5. Asieweza lipa nauli apige mbizi – Magufuli
6. Baada ya kutumia helcopter ya jeshi kwenda nayo kwao urambo - mlitaka nipande punda – Kapuya
7. Wabunge wa Dar wanafikiria kwa kutumia makalio - Masabuli
9. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua - Wassira
10. Kila mwananchi atabeba msalaba wake – Mkulo
RESERVE:
1. Baada ya kugundulika akaunti yake ya ina mihela – ah.. vile vijisenti tu! – Chenge
2. Ukitaka kula lazima uliwe - JK
3. wanafunzi kupata mimba viherehere vyao - JK
 
Hili gonjwa limekaa mahala pabaya - A. H. Mwinyi
Kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala usingizi - JK
 
Mishahara ya walimu ni mikubwa sana, kama hutaki ualimu acha kazi- Mahiza akiwa TTC Songea
 
Sihitaji kura za Wafanyakazi..............JK
Nilisinzia Bungeni kwasababu nilikuwa nimeumwa mafua na nikameza Piritoni....Wassira!
 
gharama za maisha zimepanda kwa wabunge tunawaongezea marupurupu-makinda

mim cjui hao wabunge wanaish dunia yao wenyewe au!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom