Ricardo Momo, kati ya “story” zako mbili ipi ya ukweli?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Ricardo Momo ukiachana na kukanusha tuhuma za mkewe kutembea na Msizwa huku hata demeanor ya mkewe ikionesha tuhuma za Esma zina ukweli, hili la kuwa ndugu wa Diamond ni funiko bovu.

Sijui kwanini huyu Ricardo ni muongo na anapenda kujisifia. Leo anasema Diamond Platnumz ni ndugu yake wakati mwaka mmoja uliopita alieleza jinsi alivyokutana na Diamond Kariakoo na kueleza story tofauti kabisa na ya leo.

Sijajua kwanini wanadanganya ni kiki? Au kuzima madongo ya Harmonize? Au kuzima interview ya Esma? Au tunawasha na Tigo Dar?

Msikilize hapa Ricardo Momo akiongea alivyokutana na diamond platnumz kariakoo mwaka mmoja uliopita

 
Jinsi unavyopoteza muda kujaribu kuelewa ndivyo hutoelewa, we wasikilize burudika hata usitafakari wanachokisema maana huwezi kuelewa hata kidogo. Ni mwendo wa kukubaliana nao tu. Hata wakisema Diamond siyo mtoto wa Bi Sandra bali ni mtoto wa Zari we kubali tu hata husijisumbue kutafakari.
 
Mwishoni kabisa tunaweza kuambiwa Diamond ni mtoto kabisa wa Ancle Shamte. Ndo tutajua hatujui
Jinsi unavyopoteza muda kujaribu kuelewa ndivyo hutoelewa, we wasikilize burudika hata usitafakari wanachokisema maana huwezi kuelewa hata kidogo. Ni mwendo wa kukubaliana nao tu. Hata wakisema Diamond siyo mtoto wa Bi Sandra bali ni mtoto wa Zari we kubali tu hata huzijisumbue kutafakari.
 
Jinsi unavyopoteza muda kujaribu kuelewa ndivyo hutoelewa, we wasikilize burudika hata usitafakari wanachokisema maana huwezi kuelewa hata kidogo. Ni mwendo wa kukubaliana nao tu. Hata wakisema Diamond siyo mtoto wa Bi Sandra bali ni mtoto wa Zari we kubali tu hata huzijisumbue kutafakari.
 
Ricardo Momo ukiachana na kukanusha tuhuma za mkewe kutembea na msizwa huku hata demeanor ya mkewe ikionesha tuhuma za Esma zina ukweli, hili la kuwa ndugu wa diamond ni funiko bovu.

Sijui kwanini huyu Ricardo ni muongo na anapenda kujisifia. Leo anasema diamond platnumz ni ndugu yake wakati mwaka mmoja uliopita alieleza jinsi alivyokutana na diamond kariakoo na kueleza story tofauti kabisa na ya leo. Sijajua kwanini wanadanganya ni kiki? Au kuzima madongo ya Harmonize? Au kuzima interview ya esma? Au tunawasha na tigo dar?

Msikilize hapa Ricardo Momo akiongea alivyokutana na diamond platnumz kariakoo mwaka mmoja uliopita

Hao ni ndugu kabisa
 
hata kama wanadhani ni kiki ila ni ujinga uliopitiliza disyfunctional family to the highest level,hizo kiki ziwe na mipaka kwanza kama yaliyoongelewa na esma juzi ilitakiwa sasa hivi yeye na ex husband wawe wanahojiwa kuhusu hizo tv za wizi zinazouzwa dukani na mizigo ya unga ya huko pakistan
 
FB_IMG_1610773866415.jpg
 
Mbona kama Mzee baba Abdul amesema huyo "marehemu mtarajiwa kama mimi" akimaanisha mama Dimond alikua ana maana gani au ndo ile kila mtu ni marehemu ajaye?au kuna ka kitu hapo anakajua mzee baba
 
Back
Top Bottom