Huu ndiyo ukweli mchungu, japo tunaweza kuupinga

APA CHICAGO

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
259
293
Katika nchi yetu wapiga dili kwa lugha ya mheshimiwa Dr.John Pombe Joseph Magufuli Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Mimi bila kificho nawaita wala rushwa na watoa rushwa ), ndiyo wajanja au ndo watu wa maana katika nchi hii ya watanganyika na wazanzibari.

Tumejenga taifa la kila mtu ni mwizi wa mtu mwingine na tumeizoea hali hii imekuwa kawaida kabisa kwetu na sio tatizo tena kwetu kwani imekuwa ni sehemu ya maisha yetu.Kwa mfano Daktari anamwibia mtanzania mwenzake ambaye ni mgonjwa ili amtibu, manesi na wauguzi nao wanafanya hivyo hivyo.

Bahati mbaya anayeibiwa hajui kama anaibiwa kwa maana ya kwamba Daktari, manesi na wauguzi wote hawa wanalipwa mishahara na serikali lakini ikumbukwe serikali haina shamba wala haifanyi biashara isipokuwa inalipa mishahara kwa kukusanya kodi kwa wananchi wake ambao tena wakifika huko wanaibiwa.

Huu wizi umeenea kila mahali ya nchi yetu na mfanyakazi wa serikali asipoiba anaonekana kama vile hajui kutumia nafasi yake." Refer move ya marehemu Kanumba R.I.P. inaitwa "The Kingdom devil" kuna vitu vimeelezwa vizuri sana kwa mfano alishawishiwa na mpenzi wake akaibe mali ya umma na alionekana kama bwege kutoiba na hajui kutumia nafasi yake."

watu wezi wamekuwa watu muhimu na wa maana sana miongoni mwa jamii yetu.Sioni way forward kwa hili kwani wizi, rushwa na ufisadi imekuwa sehemu ya maisha yetu. Ninachokiandika nina hakika nacho japo tunao watumishi wa umma ambao ni waaminifu lakini siamini kama wanaweza kufika hata 5%.

Nitolee mfano huko kwenye chama cha waalimu Tanzania CWT ambako kuna chaguzi zinaendelea kufanyika kwa kuchagua viongozi wa nafasi mbalimbali.Wagombea wanatoa fedha kuanzia elfu 5000/= hadi 30000/= au zaidi kwa kila mjumbe swali wanatoa fedha za nini? na watazirudishaje.?

Nani anatoa fedha bila kutegemea return? yeye hazitaki hizo fedha? Jibu ni hapana.Kumbe kila mtu anatoa fedha ili baadaye apate nyingi zaidi je anazirudishaje kama sio kuiba mali ya Umma? Ndiyo maana kwenye hiyo CWT waalimu huishia kupewa T-shirt kila mwaka utazani mahitaji ya waalimu ni T-shirt.

Ninavyoandika muda huu hii Post kuna waalimu waliokuwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya CWT ya wilaya wanalia vibaya kwa machozi mengi kwani waligawa fedha wakashindwa.Law no 40 of Power kati ya zile 48 inasema "Despise the free Lunch" because what is offered for free is dangerous.Waalimu msitegemee jipya kutoka kwa viongozi wanaoingia kwa njia ya rushwa kwani hawawezi kuacha kurudisha fedha zao kwanza wakaanza kushughulika na matatizo yenu.Nimesite CWT kuonyesha ni jinsi gani tuna tatizo kubwa katika nchi yetu.

Maamuzi ni yetu tuendelee na maisha yetu ya kuibiana au tuamue kuamka tuache kuibiana full stop. Kwani wewe mtumishi wa umma ukipokea rushwa ya mtu ulipo na wewe ndugu yako huko aliko naye anaombwa rushwa. Na wewe utaombwa rushwa na mtumishi wa idara nyingine hivyo circle ya kuibiana inaendelea hivyo hivyo bila kukoma.
 
Hakuna Jambo baya kama Kuandika au Kuwasilisha Hoja ndefu Kimaelezo kwa Great Thinkers halafu ikawa ni Pumba tupu!!
 
Mkuu Mayala a.k.a Nzala comment yako Mkuu ni muhimu
 
Kupitia thread hii nimejifunza jambo moja kubwa nalo ni kuwa, sisi watanzania kwa asilimia kubwa rushwa ni sehemu ya maisha yetu ya kawida kabisa na wala sio tatizo.Tuendelee na maisha yetu ya kawaida mtu akipiga na kuvuna mpunga kutokana na nafasi yake tusipige kelele kwani huenda na sisi tukipata nafasi hiyo tutafanya Yale Yale.
 
Tuifute TAKUKURU na Mahakama ya Mafisadi?Hapo utakuwa umewarahisishia wazee wa Takrima kujineemesha hadi wapasuke.Wangesema ndioooo kwa muswada huo,wataupitisha hata usiku kama ile ya Gaspipe,Madini nk.
 
Back
Top Bottom